Hongera mwalimu Mohamed Mkono

Hongera mwalimu Mohamed Mkono

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
napenda kumpongeza sana mwalimu wangu ambaye pia ni mwamuzi Wa Mpira Wa miguu kwa kupata badge ya FIFA..

hongera sana...naamini juhudi na jitihada zako zimekufikisha hapo!

hongera sana...
binafsi natamani sana kukuona ukishika kipyenga!

kwa wale wasiomjua huyu jamaa ndio atakua line 2
kwenye dar derby tar 29

..tukutane kwa mchina.
 
Back
Top Bottom