Hongera MwanaSimba, Kassim Majaliwa

Hongera MwanaSimba, Kassim Majaliwa

chamakh

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,075
Reaction score
1,343
Mheshimiwa Kassim Majaliwa hongera sana kwa kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika.

Wewe ni mwanamichezo mzuri kwanza ni kocha wa timu ya bunge, pili ni mwanachama hai na mzuri wa Simba Sports Club.

Kwa kutambua kwamba wewe ni mwanamichezo naomba msiisahau hii sekta ya michezo. Najua mna vipaumbele vingi lakini msiisahau michezo. Kwa vile ninavyokufahamu kama mwanasimba mzuri basi hakikisha uozo uliopo katika sekta ya michezo unafagiliwa mbali. Pia sera za michezo zifumuliwe.

Kila la heri kwako.

Simba nguvu moja.
 
mbwembwe tu hizo, huyo jamaa hana
swaga za kujipendekeza kama mnayofikilia

Mheshimiwa Kassim Majaliwa hongera sana kwa kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika.

Wewe ni mwanamichezo mzuri kwanza ni kocha wa timu ya bunge, pili ni mwanachama hai na mzuri wa Simba Sports Club.

Kwa kutambua kwamba wewe ni mwanamichezo naomba msiisahau hii sekta ya michezo. Najua mna vipaumbele vingi lakini msiisahau michezo. Kwa vile ninavyokufahamu kama mwanasimba mzuri basi hakikisha uozo uliopo katika sekta ya michezo unafagiliwa mbali. Pia sera za michezo zifumuliwe.

Kila la heri kwako.

Simba nguvu moja.
 
Labda sasa kwa uteuzi huo na nyie wamchangani mtakuwa Wakimataifa
 
Amekuelewa sana, wewe ndio umeleta mambo ya usimba hapa, au ulitaka aseme awaletee simba mourinho ili jina la wamchangani liwatoke:what:
 
Labda sasa kwa uteuzi huo na nyie wamchangani mtakuwa Wakimataifa
lengo lake nikuonyesha jamaa anavyoipenda michezo.Jina la simba kaweka kama ushahidi,acha dharau si nyinyi Yanga na Azam mmetuletea aibu ya karne? Unaposema wa mchangani wewe mwenyewe ndiyo umeua timu ya Taifa na rushwa zenu ili mwonekane timu bora kumbe mazuzu tu! Sisi wamchangani sawa ila bila simba kuwa imara tutaendelea na 7-0 maana hamna namna.
 
Kipigo cha Stars toka kwa Algeria kilikuwa hakiepukiki, yumkini kama wachezaji wa mikia wangecheza tungeligwa zaidi ya 15-0. Mchezo wa kwanza Dar tulikuwa mbele 2-0, alipoingia tu 'fungo' mmoja wa Msimbazi tukanyukwa 2 za fasta.

Huyo PM aisaidie ngazi ya juu kujenga viwanja vya kisasa kama ule wa Dar katika miji ya Arusha, Tanga, Mwanza na Mbeya ikiwa ni maandalizi ya kuandaa michuano mikubwa kama CHAN na AfCON. Haiwezekani tuendelee kujivunia uwanja mmoja uliojengwa mwaka 2005 ikiwa ni miaka 10 imepita bila kujenga uwanja mwingine.

Hongera sana Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa kwa u-PM, sasa #Hapakazitu.
 
wait and see ana majukumu makubwa zaidi ya michezo
 
Back
Top Bottom