Mheshimiwa Kassim Majaliwa hongera sana kwa kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika.
Wewe ni mwanamichezo mzuri kwanza ni kocha wa timu ya bunge, pili ni mwanachama hai na mzuri wa Simba Sports Club.
Kwa kutambua kwamba wewe ni mwanamichezo naomba msiisahau hii sekta ya michezo. Najua mna vipaumbele vingi lakini msiisahau michezo. Kwa vile ninavyokufahamu kama mwanasimba mzuri basi hakikisha uozo uliopo katika sekta ya michezo unafagiliwa mbali. Pia sera za michezo zifumuliwe.
Kila la heri kwako.
Simba nguvu moja.
mbwembwe tu hizo, huyo jamaa hana
swaga za kujipendekeza kama mnayofikilia
Mheshimiwa Kassim Majaliwa hongera sana kwa kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika.
Wewe ni mwanamichezo mzuri kwanza ni kocha wa timu ya bunge, pili ni mwanachama hai na mzuri wa Simba Sports Club.
Kwa kutambua kwamba wewe ni mwanamichezo naomba msiisahau hii sekta ya michezo. Najua mna vipaumbele vingi lakini msiisahau michezo. Kwa vile ninavyokufahamu kama mwanasimba mzuri basi hakikisha uozo uliopo katika sekta ya michezo unafagiliwa mbali. Pia sera za michezo zifumuliwe.
Kila la heri kwako.
Simba nguvu moja.
lengo lake nikuonyesha jamaa anavyoipenda michezo.Jina la simba kaweka kama ushahidi,acha dharau si nyinyi Yanga na Azam mmetuletea aibu ya karne? Unaposema wa mchangani wewe mwenyewe ndiyo umeua timu ya Taifa na rushwa zenu ili mwonekane timu bora kumbe mazuzu tu! Sisi wamchangani sawa ila bila simba kuwa imara tutaendelea na 7-0 maana hamna namna.Labda sasa kwa uteuzi huo na nyie wamchangani mtakuwa Wakimataifa
lengo lake nikuonyesha jamaa anavyoipenda michezo.Jina la simba kaweka kama ushahidi,acha dharau si nyinyi Yanga na Azam mmetuletea aibu ya karne? Unaposema wa mchangani wewe mwenyewe ndiyo umeua timu ya Taifa na rushwa zenu ili mwonekane timu bora kumbe mazuzu tu! Sisi wamchangani sawa ila bila simba kuwa imara tutaendelea na 7-0 maana hamna namna.
wait and see ana majukumu makubwa zaidi ya michezo