HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,121
- 1,204
shikamoo jazz siyo...?/Duuuu nasikia ndio alikuwa man of the match.....kikosi cha 1.2Bil imekuwaje? Wazeee watupu....subiri wakianza majeruhi ndio wataelewa!!!
kama kichwa kinavyojieleza nachukua nafasi hii kumpongeza mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Yanga kwa kutuletea maestro middo Papii kabanga Shishimbi kakifunika kikosi kinachosemwa cha 1.3 b asante sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Kabamba hajaanza kucheza leo angalia game za shirikisho akiwa na mbabane kitu aliwafanya viungo wa azam aliwaweka mfukoni.Siyo Hussein Nyika bali ni Hussein Mnyika. Ni jambo baya sana Mwana Yanga kutojua hata tu majina halisi ya Viongozi wako na hii inaonyesha dhahiri kuwa hata jana mlistahili ' Kufungwa ' kwani mna matatizo mengi ya yanoanzia Vichwani hadi Miguuni mwenu.
Kurudi katika aina ya Uchezaji wa Mchezaji wenu Papy Kabamba Tshishimbi nitamuelezea kwa namna mbili hasa za Kimchezo. Nikiri tu kwamba Tshishimbi ni Mchezaji mzuri na jana ameonyesha kuwa anaweza akaja kuwa Mchezaji mzuri. Ana karibia 85% ya Sifa zote anazotakiwa kuwa nazo Defensive Midfielder.
Tatizo lake.
Tshishimbi si mchezaji wa 90 minutes kwani ' Kiutaalam ' tu jana aliweza kuwa juu kwa dakika kadhaa lakini mara nyingi tenki lake la mafuta ( Pumzi ) ilikuwa inakata sana hali ambayo Kipindi cha pili alikuwa anapoteza mno mipira kwa kupiga pasi mfu au pasi ' msakizio ' hali ambayo ilimuharibia kidogo.
Changamoto Kwake.
Sawa tunamsifu kuwa Tshishimbi ni bonge la ' Mido ' ila tujiulize swali moja tu kwamba ile jana alicheza na aina gani ya Wachezaji? Nina uhakika tena wa 100% kwamba kama ile jana Simba ingewachezesha katika ' midfield ' akina Jonas Gerald Mkude na Said Khamis Ndemla huyu Tshishimbi asingeweza kuyafanya yale aliyoyafanya jana. Mkude na Ndemla ni wazuri sana katika ' Kukichafua ' katika ' Kiungo ' na kwa aina ya uchezaji wa Tshishimbi wangemsumbua na kumtesa mno.
Mwisho
Ili kuweza kusema kwamba Tshishimbi ni bonge la ' Mido ' hebu tusubiri angalau mechi kama tatu au tano za ' Ligi ' ya VPL ili tuone kama ataendelea hivi hivi au mambo yatabadilika. Na yawezekana pia jana Tshishimbi alionekana ' Kutakata ' pengine kutokana na ' mfumo ' mzima wa uchezaji ( namaanisha game approach ) ya ' derby ' ya jana ambao anaweza pia asiupate katika mechi zingine ambazo Yanga itakuwa inacheza. Kwa mfano mtake msitake kwa aina ya uchezaji wake siku ambayo Yanga itacheza na Azam huyu Tshishimbi atapotea mno kwakuwa Azam wana aina ya Viungo ambao ni very ' combative ' akina Himid Mao Mkami na mwenzake Salum Abukary ambao hawatakuwa wanacheza nae kama ambavyo jana James Kotei na Muzamiru Yasini walikuwa wakicheza nae.
Kuna Gazeti moja la Leo nimeona ' Mhariri ' kaandika kuwa Tshishimbi kampoteza Niyonzima kitu ambacho kilinishangaza mno na kuhisi kuwa huenda huyu Mhariri ameanza kufuatilia mipira siku za karibuni. Hawa Wachezaji wawili wote jana walikuwa na ' roles ' tofauti na ndiyo maana muda mwingi walikuwa hawakutani sasa kuwashindanisha ni jambo la ' Kipopoma / Kipumbavu ' kabisa.
Jana Niyonzima alipewa ' Jukumu ' la kuwa ' Play maker ' wa Timu ambapo alikuwa akionekana kila eneo la mpira huku Tshishimbi akipewa ' Jukumu ' kubwa la kuweza kusaidia hasa sehemu ya defensive ya Yanga na kuweza kumuanzishia mipira Thabani Skara Kamusoko na Timu iende. Kidogo huyo Mhariri angesema kwamba Kamusoko ' kamfunika ' Niyonzima ningemwelewa kwani ni ukweli usiopingika kuwa Kamusoko jana ' aliupiga ' mwingi mno na alionyesha kweli Yeye ni ' Injini ' Kuu ya Yanga.
Yangu ni hayo tu na kila la kheri ila nisiwe mnafiki au mchoyo wa kutoa sifa na nasema tena kuwa Yanga wa Mchezaji Papy Kabamba Tshishimbi hakika wamelamba ' dume ' na atawasaidia sana kumsahau haraka / mapema Haruna Fadhili Hakizimana Niyonzima.
Kwa walioangalia mechi ya jana...Siyo Hussein Nyika bali ni Hussein Mnyika. Ni jambo baya sana Mwana Yanga kutojua hata tu majina halisi ya Viongozi wako na hii inaonyesha dhahiri kuwa hata jana mlistahili ' Kufungwa ' kwani mna matatizo mengi ya yanoanzia Vichwani hadi Miguuni mwenu.

Kuna jamaa nilikuwa namuambia kosa kubwa ni kuwaacha mkude na ndemla nje kwa upande wa simba kwa miaka 3-4 yanga wamekuwa wakichezeshwa safa bwege na hawa vijana 2 hata derby iliyopita alivyoingia ndemla alibadilisha uchezaji wa simba mpaka kamusoko aliumia na kutolewaSiyo Hussein Nyika bali ni Hussein Mnyika. Ni jambo baya sana Mwana Yanga kutojua hata tu majina halisi ya Viongozi wako na hii inaonyesha dhahiri kuwa hata jana mlistahili ' Kufungwa ' kwani mna matatizo mengi ya yanoanzia Vichwani hadi Miguuni mwenu.
Kurudi katika aina ya Uchezaji wa Mchezaji wenu Papy Kabamba Tshishimbi nitamuelezea kwa namna mbili hasa za Kimchezo. Nikiri tu kwamba Tshishimbi ni Mchezaji mzuri na jana ameonyesha kuwa anaweza akaja kuwa Mchezaji mzuri. Ana karibia 85% ya Sifa zote anazotakiwa kuwa nazo Defensive Midfielder.
Tatizo lake.
Tshishimbi si mchezaji wa 90 minutes kwani ' Kiutaalam ' tu jana aliweza kuwa juu kwa dakika kadhaa lakini mara nyingi tenki lake la mafuta ( Pumzi ) ilikuwa inakata sana hali ambayo Kipindi cha pili alikuwa anapoteza mno mipira kwa kupiga pasi mfu au pasi ' msakizio ' hali ambayo ilimuharibia kidogo.
Changamoto Kwake.
Sawa tunamsifu kuwa Tshishimbi ni bonge la ' Mido ' ila tujiulize swali moja tu kwamba ile jana alicheza na aina gani ya Wachezaji? Nina uhakika tena wa 100% kwamba kama ile jana Simba ingewachezesha katika ' midfield ' akina Jonas Gerald Mkude na Said Khamis Ndemla huyu Tshishimbi asingeweza kuyafanya yale aliyoyafanya jana. Mkude na Ndemla ni wazuri sana katika ' Kukichafua ' katika ' Kiungo ' na kwa aina ya uchezaji wa Tshishimbi wangemsumbua na kumtesa mno.
Mwisho
Ili kuweza kusema kwamba Tshishimbi ni bonge la ' Mido ' hebu tusubiri angalau mechi kama tatu au tano za ' Ligi ' ya VPL ili tuone kama ataendelea hivi hivi au mambo yatabadilika. Na yawezekana pia jana Tshishimbi alionekana ' Kutakata ' pengine kutokana na ' mfumo ' mzima wa uchezaji ( namaanisha game approach ) ya ' derby ' ya jana ambao anaweza pia asiupate katika mechi zingine ambazo Yanga itakuwa inacheza. Kwa mfano mtake msitake kwa aina ya uchezaji wake siku ambayo Yanga itacheza na Azam huyu Tshishimbi atapotea mno kwakuwa Azam wana aina ya Viungo ambao ni very ' combative ' akina Himid Mao Mkami na mwenzake Salum Abukary ambao hawatakuwa wanacheza nae kama ambavyo jana James Kotei na Muzamiru Yasini walikuwa wakicheza nae.
Kuna Gazeti moja la Leo nimeona ' Mhariri ' kaandika kuwa Tshishimbi kampoteza Niyonzima kitu ambacho kilinishangaza mno na kuhisi kuwa huenda huyu Mhariri ameanza kufuatilia mipira siku za karibuni. Hawa Wachezaji wawili wote jana walikuwa na ' roles ' tofauti na ndiyo maana muda mwingi walikuwa hawakutani sasa kuwashindanisha ni jambo la ' Kipopoma / Kipumbavu ' kabisa.
Jana Niyonzima alipewa ' Jukumu ' la kuwa ' Play maker ' wa Timu ambapo alikuwa akionekana kila eneo la mpira huku Tshishimbi akipewa ' Jukumu ' kubwa la kuweza kusaidia hasa sehemu ya defensive ya Yanga na kuweza kumuanzishia mipira Thabani Skara Kamusoko na Timu iende. Kidogo huyo Mhariri angesema kwamba Kamusoko ' kamfunika ' Niyonzima ningemwelewa kwani ni ukweli usiopingika kuwa Kamusoko jana ' aliupiga ' mwingi mno na alionyesha kweli Yeye ni ' Injini ' Kuu ya Yanga.
Yangu ni hayo tu na kila la kheri ila nisiwe mnafiki au mchoyo wa kutoa sifa na nasema tena kuwa Yanga wa Mchezaji Papy Kabamba Tshishimbi hakika wamelamba ' dume ' na atawasaidia sana kumsahau haraka / mapema Haruna Fadhili Hakizimana Niyonzima.
Yanga tulimuona chamanzi akiwagaragaza hao kina himid,huyu jamaa anajua,katika usajili wa msimu huu Yanga atukuwa na papara na jan dirisha dogo ndio kuna mambo mazuri zaidi yanakujaSiyo Hussein Nyika bali ni Hussein Mnyika. Ni jambo baya sana Mwana Yanga kutojua hata tu majina halisi ya Viongozi wako na hii inaonyesha dhahiri kuwa hata jana mlistahili ' Kufungwa ' kwani mna matatizo mengi ya yanoanzia Vichwani hadi Miguuni mwenu.
Kurudi katika aina ya Uchezaji wa Mchezaji wenu Papy Kabamba Tshishimbi nitamuelezea kwa namna mbili hasa za Kimchezo. Nikiri tu kwamba Tshishimbi ni Mchezaji mzuri na jana ameonyesha kuwa anaweza akaja kuwa Mchezaji mzuri. Ana karibia 85% ya Sifa zote anazotakiwa kuwa nazo Defensive Midfielder.
Tatizo lake.
Tshishimbi si mchezaji wa 90 minutes kwani ' Kiutaalam ' tu jana aliweza kuwa juu kwa dakika kadhaa lakini mara nyingi tenki lake la mafuta ( Pumzi ) ilikuwa inakata sana hali ambayo Kipindi cha pili alikuwa anapoteza mno mipira kwa kupiga pasi mfu au pasi ' msakizio ' hali ambayo ilimuharibia kidogo.
Changamoto Kwake.
Sawa tunamsifu kuwa Tshishimbi ni bonge la ' Mido ' ila tujiulize swali moja tu kwamba ile jana alicheza na aina gani ya Wachezaji? Nina uhakika tena wa 100% kwamba kama ile jana Simba ingewachezesha katika ' midfield ' akina Jonas Gerald Mkude na Said Khamis Ndemla huyu Tshishimbi asingeweza kuyafanya yale aliyoyafanya jana. Mkude na Ndemla ni wazuri sana katika ' Kukichafua ' katika ' Kiungo ' na kwa aina ya uchezaji wa Tshishimbi wangemsumbua na kumtesa mno.
Mwisho
Ili kuweza kusema kwamba Tshishimbi ni bonge la ' Mido ' hebu tusubiri angalau mechi kama tatu au tano za ' Ligi ' ya VPL ili tuone kama ataendelea hivi hivi au mambo yatabadilika. Na yawezekana pia jana Tshishimbi alionekana ' Kutakata ' pengine kutokana na ' mfumo ' mzima wa uchezaji ( namaanisha game approach ) ya ' derby ' ya jana ambao anaweza pia asiupate katika mechi zingine ambazo Yanga itakuwa inacheza. Kwa mfano mtake msitake kwa aina ya uchezaji wake siku ambayo Yanga itacheza na Azam huyu Tshishimbi atapotea mno kwakuwa Azam wana aina ya Viungo ambao ni very ' combative ' akina Himid Mao Mkami na mwenzake Salum Abukary ambao hawatakuwa wanacheza nae kama ambavyo jana James Kotei na Muzamiru Yasini walikuwa wakicheza nae.
Kuna Gazeti moja la Leo nimeona ' Mhariri ' kaandika kuwa Tshishimbi kampoteza Niyonzima kitu ambacho kilinishangaza mno na kuhisi kuwa huenda huyu Mhariri ameanza kufuatilia mipira siku za karibuni. Hawa Wachezaji wawili wote jana walikuwa na ' roles ' tofauti na ndiyo maana muda mwingi walikuwa hawakutani sasa kuwashindanisha ni jambo la ' Kipopoma / Kipumbavu ' kabisa.
Jana Niyonzima alipewa ' Jukumu ' la kuwa ' Play maker ' wa Timu ambapo alikuwa akionekana kila eneo la mpira huku Tshishimbi akipewa ' Jukumu ' kubwa la kuweza kusaidia hasa sehemu ya defensive ya Yanga na kuweza kumuanzishia mipira Thabani Skara Kamusoko na Timu iende. Kidogo huyo Mhariri angesema kwamba Kamusoko ' kamfunika ' Niyonzima ningemwelewa kwani ni ukweli usiopingika kuwa Kamusoko jana ' aliupiga ' mwingi mno na alionyesha kweli Yeye ni ' Injini ' Kuu ya Yanga.
Yangu ni hayo tu na kila la kheri ila nisiwe mnafiki au mchoyo wa kutoa sifa na nasema tena kuwa Yanga wa Mchezaji Papy Kabamba Tshishimbi hakika wamelamba ' dume ' na atawasaidia sana kumsahau haraka / mapema Haruna Fadhili Hakizimana Niyonzima.
Heshimu koo za watu sio hussein Mnyika ni Nyika ndugu wewe ndo hujui majinaSiyo Hussein Nyika bali ni Hussein Mnyika. Ni jambo baya sana Mwana Yanga kutojua hata tu majina halisi ya Viongozi wako na hii inaonyesha dhahiri kuwa hata jana mlistahili ' Kufungwa ' kwani mna matatizo mengi ya yanoanzia Vichwani hadi Miguuni mwenu.