Elections 2010 Hongera NCCR!

Kasheshe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2007
Posts
4,694
Reaction score
790
Nimefurahishwa sana na demokrasia ya Tanzania, inakua kwa kasi nzuri sana... nimepata raha kuona NCCR wanapata viti vya ubunge. CUF pia... yes wananchi ifike mahali chama kikisemamisha mtu ovyo ovyo mnakiadhibu kwa kuwapa wenye uwezo... huree watanzania.
 
Chunguza ki-umakini nccr imepata kule ambapo ccm ilijichanganya kwa kuweka watu ambao si chaguo la wananchi bali chaguo la viongozi wa ccm
 
Chunguza ki-umakini nccr imepata kule ambapo ccm ilijichanganya kwa kuweka watu ambao si chaguo la wananchi bali chaguo la viongozi wa ccm

Mkuu Mahesabu,bado hiyo haijalishi,either wamejichanganya au hapana...bado tunaona kuwa demokrasia inachukua mkondo wake.Hapa wananchi wametumia demokrasia kuwaonyesha viongozi wa CCM kuwa si busara kuwachagulia viongozi...bali wao wenyewe.Asante WATANZANIA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…