Hongera NORA kwa kuolewa tena

Hongera NORA kwa kuolewa tena

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
NORA.JPG
YES.JPG


Hivi karibuni msanii NORA ameolewa kwa mara ya pili baada ya mumewe wa awali kufariki dunia yule mganga wa kienyeji... Hongera sana dada NORA
 
Duh imenikumbusha mbali.......! Hongera sana...........walimchafua kishenzi lakini hatimaye pimbi katokea kumliwaza kiukweli!
 
Duh imenikumbusha mbali.......! Hongera sana...........walimchafua kishenzi lakini hatimaye pimbi katokea kumliwaza kiukweli!

Hahaha kwa nini umemwitta pimbi?:lol: au ni yule Dk Love pimbi
 
Mmmmmmh najua jamaa kamvuta ili apate wa kumpikia FUTARI si unajua mfungo wa Ramadhan unaanza next week jnne hivi so hata Nora itamsaidia maana wahanga walikua wengi sanaaaa!!!!!
 
Kila la kheri, kila mtu ana haki ya kuwa na mwenzi
 
Back
Top Bottom