Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Watu ambao hawajachanjwa ni watu wenye sifa ya ujasiri mkubwa. Ni watu bila shaka wenye sifa ya ukosoaji na bila shaka yeyote pia ni wanadamu bora zaidi kuliko wengine.Hata kama ningechanjwa ningewashangaa wale ambao hawajachanjwa kwa sababu walistahimili shinikizo kubwa ambalo sijawahi kuliona, kutoka serikalini,wazazi, watoto, marafiki, wafanyakazi shirika,madaktari na hata jumuiya za kimataifa.
Watu hawa wana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchambua mambo.Ni watu wenye ujasiri mkubwa na bila shaka yeyote ni wanadamu bora zaidi. Wapo kila mahali, katika nyakati zote, ngazi mbali mbali za elimu, nchi na ufahamu.
Wao ni wa aina maalum, ni askari ambao kila jeshi lingetamani kuwa nao katika safu zake.Hao ndio wazazi ambao kila mtoto angetamani na watoto ambao kila mzazi anawaota.Ni viumbe vinavyoinuka juu ya jamii zao.Hawa ndio asili ya watu ambao wamejenga tamaduni zote na kushinda mapingamizi yote. Wako pale, karibu na wewe, wanaonekana wa kawaida sana,lakini si wa kawaida,ni superbeings and heroes. Walifanya kile ambacho wengine hawakuweza. Walikuwa mti ambao ulivumilia kimbunga cha matusi, ubaguzi na kutengwa na jamii. Na walifanya hivyo kwa sababu walijua walichokuwa wanafanya ni sahihi,ingawa wapo peke yao. Ingawa walijua kuwa wako peke yao,hawana msaada wowote, walivumilia kupigwa, marufuku kwenye meza za familia zao wakati wa Krismasi na vyombo vya usafiri,kiukweli hawaja-wahi kuona ukatili mkubwa kiasi hiki. Walipoteza kazi zao, kazi ambazo ziliwapa mkate wa kila siku.Wengine walikuwa hawana pesa,lakini hawakujali. Walikabiliwa na ubaguzi mkubwa, kulaumiwa, kusalitiwa na kufedheheshwa,lakini waliendelea kusimamia walicho kiamini. Hakujawahi kutokea duniani mazingira ya aina hii.
Sasa tunajua ni nani bora zaidi kwenye sayari ya dunia hii.Ni wanawake, wanaume, wazee, vijana, matajiri, maskini, wa rangi au dini zote, wasiochanjwa.Ni wateule wa safina isiyoonekana, ndio pekee ambao waliweza kupinga unyama huo,wakati kila kitu kilipo-paraganyika. Ni wewe hapo ambaye ulipita mtihani usiofikirika, ambao wengi tuliodhani ni jasiri walishindwa.Marines wa Jeshi la Marekani, Commandos wa majeshi mbali mbali duniani, Green Berets, wanaanga na geniuses wote hawakuweza kustahimili pressure iliyo kuwepo. Hongereni sana kwa kustahimili mateso makubwa kiasi hicho.Ninyi mmetengenezwa kwa nyenzo bora zaidi kuwahi kuwepo, ni mashujaa mliozaliwa na watu wanaong'ara gizani.You are people of pure blood,congratulations.