Zege Halilal ZH
Member
- Oct 21, 2011
- 20
- 4
Alidesa mara ngapi mpaka amepata hiyo degree!! Loh!
wajinga ndo hufa kwa wivu...na maswal yko ya ki-cameron cameron
Ukweli unauma eeh!! Loh!
Ka-graduate with suppl-i
Umekuwa msemaji wa JF sio? Sio wote wanampongeza!Jana tu hapo co-host wa kipindi kinachobamba Tanzania nzima power breakfast amepata degree yake ya mass comm kutoka Tumaini University.,.Memberz wote wa JF tunakupongeza kwa hilo..tunataka tuone hyo degree unaifanyia nin na co kubaki tu km urembo..nina iman utakua PJ mwngne co yule msoma magazet...
congrats PAUL JAMES
ooops, nilidhani paka jimmy, kumbe paul james!!
hongera sana Paul James. endelea kutuhabarisha!!
memberz wote JF!!!Jana tu hapo co-host wa kipindi kinachobamba Tanzania nzima power breakfast amepata degree yake ya mass comm kutoka Tumaini University.,.Memberz wote wa JF tunakupongeza kwa hilo..tunataka tuone hyo degree unaifanyia nin na co kubaki tu km urembo..nina iman utakua PJ mwngne co yule msoma magazet...
congrats PAUL JAMES
Umekuwa msemaji wa JF sio? Sio wote wanampongeza!
mi sikujua jf ina msemaji.
hata hivyo kwa vile ni elimu, hongera zake.