Hongera Prof. Kabudi kwa umahiri wa kusoma kwa kufuata vituo kwa usahihi

Ni kweli, jamaa ni mzuri sana wa kusoma na kutamka na pia kuandika. Alipokuwa UDSM alikuwa ndio MC wa events kubwa kubwa zenye ugeni mzito pale chuo. Pia matangazo ya chuo yalikuwa yanapita kwake kwa uhariri kabla hayajaenda katika public
 
Itakua ni mwalimu wa lugha katika shule flani ya awali
 
Mwinyi amefanya nini?
 
Mzee wa mia kenda
Hawezi kuonesha kuwa tukio au mahali anapotoa sauti ni pa kufurahisha au kuhuzunisha. Ni kasoro kubwa . Anafoka au anatamka kimamlaka mahali pote. Sikutarajia kwenye wasifu wa msiba wa mtu wake asioneshe hata tone ya huzuni.
 
[QUOTE="M-mbabe, post: 38448066, member: 19553"hongera japo unapenda sifa
My 5-year kid can do it mbona. Tena in English!
[/QUOTE]
 

Hatukujua kuwa aliokotwa jalalani; ni yeye mwenyewe ndio aliyetuambia kuwa aliokotwa na marehemu huko iDodoma jalalani!!
 
Kabudi yuko vizuri ukiachana na vidosari vyake viwili vitatu kama kutumbua macho na kujitoa ufahamu ili kumfurahisha marehemu jiwe
 
Tema tema mate sana kwa walio karibu nawe 😂
Panua domo,toa jicho sana

Maliza makelele,urudi kwa mama kupiga goti kuomba kazi

Jichelewesheni mnajifanya mnampenda sana Dikteta,mama atawatosa nyote

Jifanyisheni mnajua sana kilio
 
Mtu aliyekuwa vizuri KAMWE hawezi kusema aliokotwa jalalani. Mtu asiyejithamini lazima ana walakini mkubwa.
Kabudi yuko vizuri ukiachana na vidosari vyake viwili vitatu kama kutumbua macho na kujitoa ufahamu ili kumfurahisha marehemu jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…