Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kiongozi hupimwa kwa uwepo wa kuvumilia mishale kipindi cha shida na kipindi cha hoja za kitaifa. Rais ameona upepo wa kisiasa, ametambua uwepo wa tafsiri mbaya dhidi ya nia yake ya kutafuta wawekezaji wa bandari.
Ili kujipa muda maalum wakitafakari naamini ameamua kukaa sehemu ambayo atafanya self evaluation n kuona gaps ambazo anapaswa kuziba ili mipango yake isiwe na madhara yanayotabiriwa na wanazuoni na wanasiasa.
Naamini akirejea atakuja na suluhu kama siyo tiba ya mpasuko unaoendelea. Mama ni mcha Mungu; akiomba dua kwenye eneo la mikataba naamini atapewa majibu.
Tunachopaswa kufanya ni kuzidi kumwombea aongozwe na Roho wa Mungu kutongoza kwenda nchi ya ahadi.
Moto wa Niger, chadi na kinachoendelea south Afrika kuhusu kurejesha rasilimali kwa umma kiwe sehemu ya maamuzi ya mama.