APA CHICAGO
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 259
- 292
Mkuu Like binafisi nimefurahi kusikia hatua nzuri zimefikiwa ilinkuleta mahusiano mema.Kwani kwa fikila zangu Kenya tupo nao karibu sana kuna wimbo Rose mhando kaimb unaitwa barikiwa Kenya na amemsifu Uhuru Kinyatta sanaRais ana uthubutu na msimamo usioyumba, hata Kenyatta namsifu kwa kukabili tatizo fasta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni.Mhe Rais kwa hili kafanya vyema kuliko unavyofikilia.Kama kawaida. Jamaa kawashika na kuwafungia akili. Haya matatizo kayatengeneza mwenyewe ili baadaye aje ajifanye anayatatua. Jamaa ni bonge la con-artist!!
Tuko pamoja kaka Paschal MayalaNaunga mkono hoja
P
Ndivyo ilivyo mkuuMweshimiwa rais Ni makini haijawai tokea
dondosha namba yako
Niliwadharau zamaniMnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni.Mhe Rais kwa hili kafanya vyema kuliko unavyofikilia.
wamekusikiaMkuu Nelly namba ya nini tena.
Tatizo wenzetu walianza kufikiria utalii wakati msimu wenyewe bado haujaanza sasa kuanza kutuchafua Tanzania kabla ya muda ili Wao waonekane Safi. Ningumu mtu mwenye akili timamu kuamini.
wao mchana kutwa Wana kuahuru na kufanya kazi Kama sisi,usiku muda wa kulala ndio wanaji lockdown.
Leo hii madereva wetu wanaoingia Kenya 90%waonekane Wana Corona alafu wakwao wanao kuja kwetu Tanzania wana kaa karibu wiki nzima wakirudi kwao pale mpakani waliopimwa wanaonekana wazima. Hii ina onyesha ni hujuma bila Shaka yoyote.Tangulini Corona ikabagua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wa mheshimiwa Rais wetu ni msimamo lakini pia na usome wake unampa kujiamini
Mkuu Like binafisi nimefurahi kusikia hatua nzuri zimefikiwa ilinkuleta mahusiano mema.Kwani kwa fikila zangu Kenya tupo nao karibu sana kuna wimbo Rose mhando kaimb unaitwa barikiwa Kenya na amemsifu Uhuru Kinyatta sana
Mkuu Like binafisi nimefurahi kusikia hatua nzuri zimefikiwa ilinkuleta mahusiano mema.Kwani kwa fikila zangu Kenya tupo nao karibu sana kuna wimbo Rose mhando kaimb unaitwa barikiwa Kenya na amemsifu Uhuru Kinyatta sana
Hivi kweli hili nalo kuna watu wanasema Mheshimiwa Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli Kakosea?.Kwangu Mimi Rais kaonysha weledi sana.Anastahili pongezi na Hongera nyingi.Mwisho sijapost ili nipate uteuzi bali nimekubali na kuthamini kile alichokifanya.wamekusikia
Mkuu haya ya kweli? Na uko serious?WATANZANIA WENGI NI WAPU.MBAVU SANA. JANA WALIKUWA WANAMUUNGA SHEGELA KUFUNGA MPAKA NA TANGA. LEO MKUU KAONGEA NA KENYATA WANAJIFANYA WANASIFIA TENA, DUH!
Sent using Jamii Forums mobile app