bulicheka 4
JF-Expert Member
- Mar 22, 2020
- 915
- 1,019
Mwambie kwanza aache dhuluma dhidi ya watumishi wa umma! Haiwezekani tangu watu waajiriwe mwaka 2014, mpaka leo hawajapandishwa madaraja yao.Raisi wa wanyonge msikivu na mwenye huruma ndio maana tulimpigia kura za funga kazi na ziada ili zikipungua aongeze,amekusikia atafanyia kazi!
Utumishi wa Umma,siyo sehemu ya kujipatia utajiri!! By Mwalimu JKN!!Mwambie kwanza aache dhuluma dhidi ya watumishi wa umma! Haiwezekani tangu watu waajiriwe mwaka 2014, mpaka leo hawajapandishwa madaraja yao.
Rais wa wanyonge hawezi kuwa mkatili, mwonevu, mbinafsi, mkaidi na mwenye hulka ya kupenda kujitweza, kutukuzwa na kuabudiwa!
Kupanda madaraja/cheo ni haki ya mfanyakazi yeyote yule duniani kutoka kwa mwajiri wake. Lengo ni kumuongezea morali na ari ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa zaidi.Utumishi wa Umma,siyo sehemu ya kujipatia utajiri!! By Mwalimu JKN!!
Kupandisha kila Mwaka Mishahara,nako kuna ongeza sana Mfumuko wa bei na kushusha thamani ya shiling! Tuvumulieni muda si mrefu mtaona shiling yetu inavyopanda thamani, Mtu hata akilipwa laki tano ataona thamani yake!!Kupanda madaraja/cheo ni haki ya mfanyakazi yeyote yule duniani kutoka kwa mwajiri wake. Lengo ni kumuongezea morali na ari ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa zaidi.
Unapo mdhulumu mfanyakazi haki yake kwa makusudi, unampunguzia morali na hiyo ari yakufanya kazi kwa ufanisi zaidi. Matokeo ya huu uonevu, ni kwa mfanyakazi huyo kufanya kazi chini ya kiwango, kutotimiza wajibu wake ipasavyo, nk.
Mkuu, waachie liutumishi lao la umma nenda kajiajiri. Unakaa unalialia mchana kutwa, hujui kuwa kuna mamilioni ya watu wako vijiweni hawana hata hiyo ajira ya utumishi wa umma. Kama wanawazingua, toka nenda kwenye sekta binafsi au kaanzishe kilimo cha kisasa, kinalipa.Mwambie kwanza aache dhuluma dhidi ya watumishi wa umma! Haiwezekani tangu watu waajiriwe mwaka 2014, mpaka leo hawajapandishwa madaraja yao.
Rais wa wanyonge hawezi kuwa mkatili, mwonevu, mbinafsi, mkaidi na mwenye hulka ya kupenda kujitweza, kutukuzwa na kuabudiwa!
Kilio cha Wafanyakazi wengi wa nchi hii kwa sasa siyo kupandishiwa mishahara kila mwaka kama unavyodai!! Wafanyakazi wanadhulumiwa haki zao na Rais aliyeko madarakani mchana kweupe.Kupandisha kila Mwaka Mishahara,nako kuna ongeza sana Mfumuko wa bei na kushusha thamani ya shiling! Tuvumulieni muda si mrefu mtaona shiling yetu inavyopanda thamani, Mtu hata akilipwa laki tano ataona thamani yake!!
Kukimbia tatizo siyo njia sahihi. Dawa ya tatizo ni kulikabili. Mimi hapa nilipo nilishajiongeza kitambo. Lakini bado nina wajibu wa kudai haki yangu kutoka kwa mwajiri.Mkuu, waachie liutumishi lao la umma nenda kajiajiri. Unakaa unalialia mchana kutwa, hujui kuwa kuna mamilioni ya watu wako vijiweni hawana hata hiyo ajira ya utumishi wa umma. Kama wanawazingua, toka nenda kwenye sekta binafsi au kaanzishe kilimo cha kisasa, kinalipa.
Ndo kusema Financial and Building imetumika hapo amaKwani hapo hakuna mbunge wa kuwasemea wananchi,au mbunge wenu ni kama taletale.