Thailand
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 275
- 795
Kwanza nichukue fursa hii kama watanzania wengine kukupongeza ndugu yetu Rayvany kwa kupiga show moja matata sana kwenye tuzo za MTV zilizofanyika Budapest nchini Hungry.
Kwa ufupi ile show imekuweka kwenye position nzuri kuendelea kutoboa kimataifa, thamani yako imepanda sana sokoni. Utatafutwa sana na wasanii wadogo kwa wakubwa ili kufanya collabo, kikubwa ni wewe kuijua thamani yako bila kuringa.
Ushauri
1. Zuia collabo nyepesi hasa kwa wasanii wa bongo except Diamond platinum.
2. Achana na miziki ya kulialia kizazi cha leo watu wanapenda mziki wa kuwaburudisha na kucheza. Tetema ilikidhi vigezo.
3. Mziki huko Latin America na Tetema imeshakufungulia njia huko. Tuma show yako hiyo kwa wasanii wakubwa then waombe collabo kupeleka mziki wako juu.