Hotuba ya Leo ya Rais imenikosha kinoma hakuna unyonge kasimama Kikamanda .Wahuni minduku inawapwita.
Eti walijua Rais atakuja na ngonjera za kuwapigia magoti.
Sisemi mengi;
Kwa kauli yako mwenyewe umethibitisha kwamba Taifa letu liko imara na hakuna atakayeleta nywinywi,nywinywi wala nywinywinywi.
Sasa nafikiri Tuendelee kuijenga nchi. Bila kujali iwapo umeingia kwa njia ya kura halali au haramu wewe ndio Mkuu wa nchi kwa sasa.Hata kama wewe ni Dictator,Totalitarian,Authoritarian au Jina lolote watakalochagua kukupa mpaka utakappofanyika uchaguzi mwingine,
Tupo wengi ambao hatukabaliani na baadhi ya mambo kama vile kumteua Mkweo na Mwanao na Mashosti zako kwenye baraza la mawaziri ila pamoja na hayo tunaamini kwamba Jamhri lazima isimame.
Kwa misingi hiyo basi shikilia hapo hapo na kwa sasa hivi hakikisha hata internet haizimi ili tuone show nzima live na media zireport live na maiti zao wapewe wazizike ila anayeleta chokochoko tumuone akishughulikiwa
Hotuba ya Leo ya Rais imenikosha kinoma hakuna unyonge kasimama Kikamanda .Wahuni minduku inawapwita.
Eti walijua Rais atakuja na ngonjera za kuwapigia magoti.
Mods Active Maxence Melo mbona mnamuacha huyu jamaa atumie avatar picha yangu ya Maghayo? Mmeni restrict kwenye ID yangu ya maghayo siwezi kucomment wala kulike. Sasa huyu mpuuzi anatumia avatar yangu na members wanadhani ni mimi maghayo mwenyewe kwa upuuz wake. Please mods mpigeni ban tena ama abadilishe hiyo avatar.Hotuba ya Leo ndio hotuba Bora kuwahi kutolewa na Rais yeyote duniani
Samahani mkuu kama nimekukwaza , picha nilitoa mtandaoni na sasa nimebadilisha .Mods Active Maxence Melo mbona mnamuacha huyu jamaa atumie avatar picha yangu ya Maghayo? Mmeni restrict kwenye ID yangu ya maghayo siwezi kucomment wala kulike. Sasa huyu mpuuzi anatumia avatar yangu na members wanadhani ni mimi maghayo mwenyewe kwa upuuz wake. Please mods mpigeni ban tena ama abadilishe hiyo avatar.
Mimi nimeiDownload nisikilize kila siku.Leo nimeskia hotuba ya Rais niliyempigia KURA. Hakika kura yangu haikwenda bure.
Thank you Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿
Kwani Avatar hiyo ulitengeneza mwenyewe?Mods Active Maxence Melo mbona mnamuacha huyu jamaa atumie avatar picha yangu ya Maghayo? Mmeni restrict kwenye ID yangu ya maghayo siwezi kucomment wala kulike. Sasa huyu mpuuzi anatumia avatar yangu na members wanadhani ni mimi maghayo mwenyewe kwa upuuz wake. Please mods mpigeni ban tena ama abadilishe hiyo avatar.
Kabisa , maana walianza kumpanda kichwani walimuona mnyonge alijishusha bado hawaridhiki sasa kipigwe tu .Leo mama kanyoosha,sio kinyonge! Kuna muda ili mambo yaende lazima maamuzi magumu yafanyike..!
KUmbe we ndio wale wajinga wachache mliyempigia kura huyo kilazaa?!Leo nimeskia hotuba ya Rais niliyempigia KURA. Hakika kura yangu haikwenda bure.
Thank you Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿