fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
bei zinapangwa kulingana na nguvu ya sarafu ya nchi hiyo,sio kwamba ni rahisi kuliko huku.Lakini hata hapa kwetu bei sio ghali sana kwa kulingana na gharama za kuendesha tv.azam analipa gharama kubwa sana ili kuendesha shughuli zake,analipia tamthilia zote unazoziona,analipa kampuni za habari zote unazoziona mfano,cnn,bbc,al jazeera,analipa tamthiliya zote za ndani na za nje,gharama za kuendesha mitambo.ndugu acha kabisa kuendesha tv sio rahisiJambo la ajabu vifurushi nchi za jirani azam wanaweka bei ndogo sana kuliko nchini.
Azam kenya ni haiko yaaani unaona Zuku hapa Tanzania iko hadi vijijini basi Azam kenya kashindwa kutoboa kabisa.Jambo la ajabu vifurushi nchi za jirani azam wanaweka bei ndogo sana kuliko nchini.
Nyie si ni kama kondoo tu hamjawahi kupinga chochoteJambo la ajabu vifurushi nchi za jirani azam wanaweka bei ndogo sana kuliko nchini.
Kenya azam ipo labda na ndio ina haki ya kuonesha liginya kenya,huwezi kuiona liginya kenya bila kuwa azam hivyo watu wanainunua sana na tayari ina staffs wake wengi tuAzam kenya ni haiko yaaani unaona Zuku hapa Tanzania iko hadi vijijini basi Azam kenya kashindwa kutoboa kabisa.
Kule watu ni EPL na UEFA hana content za kuwavutia wakenya