binafsi nimefarijika sana na maamuzi ya hawa mabwana wakubwa, katika hili la kuto kutoa mikopo katika kozi za ICT (Computer science, IT, INFORMATION SYSTEMS, etc.)
sasa naamini tutapata wataalam mahiri na makini, na si wababaishaji kama ambavyo imezoeleka. yaani, wasomaji wa hizo kozi kwa sasa, watakuwa ni wale tu wenye nia ya dhati hasa, BRAVO magamba
unaunga mkono upuuzi? nyie watoto wawakubwa mnataka mbaki peke yenu kwenye hii fani maana mnajua kuwa mtoto wa maskini akipata One ya 3 mpaka 9 kutoka Mzumbe, Kibaha, Kilakala nk. hatoweza tena kuomba hiyo kozi kwa kuwa hatakuwa na uwezo wa kujilipia. Sana sana atakimbilia kozi ambazo mkopo unatolewa. Hicho ndo mnachofurahia maana wapinzani wenu kwenye fani wamemwaga na bodi ya magambaNakuunga mkono
mkuu, acha waende na kwenye ualimu sasa, na wewe ni mmoja wao?unaunga mkono upuuzi? nyie watoto wawakubwa mnataka mbaki peke yenu kwenye hii fani maana mnajua kuwa mtoto wa maskini akipata One ya 3 mpaka 9 kutoka Mzumbe, Kibaha, Kilakala nk. hatoweza tena kuomba hiyo kozi kwa kuwa hatakuwa na uwezo wa kujilipia. Sana sana atakimbilia kozi ambazo mkopo unatolewa. Hicho ndo mnachofurahia maana wapinzani wenu kwenye fani wamemwaga na bodi ya magamba
we mbwiga umeelewa posti yangu vizuri, ama unabwabwaja kwa kukosa mkopo? mimi nimechoshwa na utitiri wa vijana kukimbilia ict, eti kwasababu ya mkopo, mwisho wake wanahitimu bila kuwa uwezo wa kufanya lolote la maanaWe unafikiri nchi hii itajengwa na watu wanaosomea hivyo tu? Hivi una akili kweli wewe?
mkuu, issue siyo kuwa juu. huku makazini tunashuhudia mengi bana, dogo anakuja na bachela yake ya ict kuomba kazi, unampa "sinerio" anabaki ana mbwelambwela tu siku nzima. sasa imetosha, waende huko kwa rais wao mkobaJF is never boring. The Boss hapo ndipo ukisikia aliye juu ni wa juu tu..kwa ict sasa hivi iko arts nini..
dogo mimi sina cha kukosoa hapo, we nenda tu kwenye ualimu, tunahitaji watu wenye nia ya dhati na uchungu wa kweli, ili waweze kuleta mabadiliko katika hii sekta ambayo umuhimu wake unaanza kuonekana. acha uzembe dogo, yaani unafurahi kuona hata projects ndogondogo zinafanywa na raia wa kigeni?Yani wewe unatumia masburi kufikiri badala ya kukosoa eti hongera! Watu wengine bhana! Infact You spoiled my day
mkuu, kama una uchungu kweli, na una kijana wako na unataka asomee fani za maana, basi mlipie ada. mbona unatoa michango ya harusi kutwa, na kufadhiri vijiwe vya kilaji daily? hii ndiyo itamsababisha asome kwa umakini mkubwa, lakini pia ajitoe hasa, siyo kwenda kushinda club tu na kuishia kukariri madesaMambo ya weekend hayo watu mmepigazenu alab na NOAH mnatujia na ***** humu, ulevi ukikuisha uondoe huu ***** wako humu jamvini!
mkuu, kama una uchungu kweli, na una kijana wako na unataka asomee fani za maana, basi mlipie ada. mbona unatoa michango ya harusi kutwa, na kufadhiri vijiwe vya kilaji daily? hii ndiyo itamsababisha asome kwa umakini mkubwa, lakini pia ajitoe hasa, siyo kwenda kushinda club tu na kuishia kukariri madesa, vinginevyo naona wewe ndiyo umetoka kwenye pombe sijui, ama mna bifu na nyumba ndogo yako!Mambo ya weekend hayo watu mmepigazenu alab na NOAH mnatujia na ***** humu, ulevi ukikuisha uondoe huu ***** wako humu jamvini!
penye nia pana njia kaka, kama ni vipaji kweli watafanya kila linalowezekana kutimiza azma yao. hao ndiyo tunao wataka kwasasa, siyo wale wakufuata mikopo tu, mwisho wa siku ndiyo maana mnaona vijana wengi wakiranda randa tu mitaani, hawawezi kufanya chochote, eti wanataka ajira!!kuna vipaji , tiyari visha pishana na hii Coarse kwa huu uamuzi
dogo mimi sina cha kukosoa hapo, we nenda tu kwenye ualimu, tunahitaji watu wenye nia ya dhati na uchungu wa kweli, ili waweze kuleta mabadiliko katika hii sekta ambayo umuhimu wake unaanza kuonekana. acha uzembe dogo, yaani unafurahi kuona hata projects ndogondogo zinafanywa na raia wa kigeni?
besides, mimi ni mdau mkuu mno wa ict, na hawa vijana wamekuwa wakiniangusha mno, thanks God to certifications, atleast ukimpata aliyepitia huko kidogo mnapiga mzigo.