Hongera sana 'Captain' Mbwana Samatta 'Poppa' kwa kuamua 'Kujivunja' ili ukwepe 'Aibu' ya Taifa Stars 'Kubugizwa' Magoli na Tunisia

Samantha timu ya taifa huwa anarukaruka tu, bora hakuja kabisa!
 
Unakumbuka mechi ya Algeria na Stars bila bila wakamfukuza kocha ndio kinaenda kutokea kesho
 
Samantha timu ya taifa huwa anarukaruka tu, bora hakuja kabisa!
Wewe kwa 'Upuuzi' huu uliouandika hapa wala sipati shida kukujua kuwa ni lazima tu utakuwa ni Mshabiki 'lia lia' wa Nyani Sokwe Mbwa Yanga SC.
 
Na kwanini tupangwe na Waarabu kila msimu wa mashindano?

Sijawahi sikia tz ipo kundi moja na Ghana au Afrika Kusini hivi.. miaka yote ni kutupwa tu kwawaarabu[emoji26][emoji21]
 
Wewe kwa 'Upuuzi' huu uliouandika hapa wala sipati shida kukujua kuwa ni lazima tu utakuwa ni Mshabiki 'lia lia' wa Nyani Sokwe Mbwa Yanga SC.
Mkuu wewe tunajua ni mikia tu, aka wavunja miguu Kwa rungu! samata timu ya taifa hasaidiagi kitu!
 
Kwanini upo so negative mkuu?Mpira wa miguu umeucheza?
 
Watz walivyo wanafki nao wanamatumaini et tunapenya mxiuuu Ebana nisiwe mwongo Apa ni Kichapo Chema Tena Nje Ndani Kimahesabu ya kichwa Changu Hakuna Timu yyte ya North Africa Tutakaa tuje tuwafunge..Tena na Hao Hadija Manara SC wasipoangalia watapigwa na Plateu Gentamycine Note it
 
Na kwanini tupangwe na Waarabu kila msimu wa mashindano?

Sijawahi sikia tz ipo kundi moja na Ghana au Afrika Kusini hivi.. miaka yote ni kutupwa tu kwawaarabu[emoji26][emoji21]
Kwani hakuna nchi Kwetu huku Kusini mwa Afrika ambazo nazo huwa zinapangiwa nao ( Waarabu ) lakini bado huwa wanawatoa Jasho Waarabu?
 
Kwanini upo so negative mkuu?Mpira wa miguu umeucheza?
Nadhani isingekuwa 'Mikwara' ya Wazazi wangu kuwa nisipoachana na Mpira wataniachia 'Laana' leo hii ningekuwa ama Liverpool FC au AC Milan.
 
Wale Al ahly na JS soura waliokufa hapo kwa mkapa wanatoka kijijini kwenu?
 
Futa hii takataka,
 
Hawa Tunisia Hawakuwa Serious Kabisa Wangetupiga Nyingi Sana Kwa Mpira Huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…