Hongera sana cloud media group kwa kazi iliyotukuka!


bure kabisa!
poor you!
ina maana clouds media ndio media pekee hapa tz?
 

aisee, bila shaka wewe utakuwa maskini sana kuanzia tumboni hadi kichwani!
 
tupo wengi ila sema tu hatupendi malumbano yasiyo na maana,
hata wakati mwingine kukaa kimya ni jibu kwa mjinga!

Nilijua utaibuka tu, haya kulikoni kunyonya jasho la wasanii? Ukishajibu hili utufahamishe kama wewe ndiye yeye ama wewe ni mke wake.
 
sawa, wote tunatetea ulaji wetu ila sio kimatakomatako km huyu anaejiita hello

Mkuu, umemaliza mjadala, labda atoke mbishi mwenye kichwa cha nazi alete tena maneno.
Hebu hando mchomvu na b12 wajtokeze.
 
Last edited by a moderator:
Nilijua utaibuka tu, haya kulikoni kunyonya jasho la wasanii? Ukishajibu hili utufahamishe kama wewe ndiye yeye ama wewe ni mke wake.

mimi kawa wewe tu mwaya!
 
mimi kawa wewe tu mwaya!

Ushauri wangu kwako ni huu, acha kuwanyonya wasanii hadi tone la damu la mwisho, endeleza kampuni yako kistaarabu bila kuwagombanisha wasanii.
 
Najua clouds mmeumia sana kuona ANACONDA anachukua tuzo.na bado
 

Mwanzo ukianza vizuri lakini mwisho umekosea manake hata mtoto mdogo anajua umetumwa kuandika hilo kama hukuandikiwa anyway. Kwa taarifa yenu mlichomdhulumu marehemu hamjarudisha hata chembe achana na kuhusika na kifo chake. Frustrations zake mnahusika nazo Clouds
 
Kama huna cha kuandika basi pandisha gagulo kisha chapa lapa...


Huyu Gang Chomba anasahau kwenye post mojawapo leo inayomuhusu Jide akisema kuwa yeye anaichukia clouds kuliko mtu yoyote, kumbe mpiga debe wao. Rafiki wa mwizi ni mwizi tu!
 
Millard alikua anatoa taarifa za uongo pasipo kushuhudia, kukaa kwake kote Joberg alibahatika kuonana na M 2da P mara moja tu, kisha baada ya hapo akawa anaulizia story kwa mwenyeji wke juu ya hali halisi ya M 2da P na matayarisho ya kusafirisha mwili wa marehemu Mangwair, kisha anasema akiripoti live kutoka eneo la tukio, maajabu hata M 2da P anasema alipoenda hospital kumuona hakujua km ni mwandishi wa habari, yeye alijua ni Mbongo mwenzake anayeishi Joberg, so Millard hana kubwa alijualo ndio maana hata hakujua kama M 2da P anakuja kwenye mazishi ya mshakji wke

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Sasa naamini usemi wa Wasanii walio wengi kwamba support ya ukweli ya hawa jamaa hupatikana msanii aliyefujwa anapofariki......kiukweli hata mm nikiwa hai ningeusia nikifa wasije....?
 
tupo wengi ila sema tu hatupendi malumbano yasiyo na maana,
hata wakati mwingine kukaa kimya ni jibu kwa mjinga!

Mimi pia napenda vitu vizuri. Pia sio bendera nikafuata upepo pasipokujua wapi utanifikisha.
 
Ruge sio raia wa Tanzania hivi ile position yake hakuna Mtanzania anayeweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…