Hongera sana Diamond lakini kwa hili hapana...

Najisikia vibaya sana mtu kuandika ongera badala ya Hongera.
Samahani kiongozi hilo nililiona mapema ..ila kufanya editing. Ikawa ngumu kidogo. Hata mimi sipendi kuandika kizembe namna hiyo
 
Kwani si mnasemaga wasafi media sio ya Diamond, mbona linapokuja suala la kuvikosoa hivyo vituo mmamuhusisha Mond moja kwa moja?

Lakini linapokuja suala la kuvisifia Mnasema ni vya Kusaga.

WALIMWENGU WANAFIKI SANA
 
Kwani si mnasemaga wasafi media sio ya Diamond, mbona linapokuja suala la kuvikosoa hivyo vituo mmamuhusisha Mond moja kwa moja?

Lakini linapokuja suala la kuvisifia Mnasema ni vya Kusaga.

WALIMWENGU WANAFIKI SANA
Unapozungumzia kampuni yoyote kubwa ili ifanye kazi mara nyingi inawekwa katika mfumo wa hisa. Hili lipo wazi haliitaji maelezo . Hata Wasafi ina wadau wengi waliowekeza pale. Na sio Naseeb peke yake. Lakini mfumo wa hisa una taratibu zake .ukimpa mamlaka mtu mwenye hisa nyingi ama mkurugenzi. Na kuonekana kama ndio mmiliki mkuu wa kampuni husika ili hali kunakuwa na wamiliki wengine nyuma yake. Huu mfumo upo sehemu nyingi ikiwemo hata hiyo Wasafi.
 
Hii habari inno itamfanya avimbe km amemeza mate ya kinyonga lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha sema mm ni team wcb aisee ukweri namkubali sana diamond ila sijui kwanini kwenye radio hakuna ubunifu kwakweri kama lilyommy kipindi yupo times fm alikuwa wa moto kwenye interview lakin saiv amepowa kma nin yani inshort hakuna mtangazaji mwenye swaga isee bola kina bdozen na jonijoo natamani wahuni wangekuja wasafi fm
 
Diaomond angewambia wakurugenzi wa wasafi fm na tv wawe wabunifu bana manjojo yawe mengi sasa vipindi havina amshaamsha hadi cha didah mashamsham kinajitahidi lakin the switch kimepowa ma dj hawana mizuka wanapiga ngoma bila utundu matangazo yakiisha kama wanakaa kimya sometimes biti tu mtangazaji anakuwa haongei daaa 🚶
 
mfano mimi nachukuaga remot naanza kuangalia wsf dakika haishi naishabdilisha naeka tve naona hakuna chamaana naona wale wale tu promo nyingi hakuna chaa maana..
naamua kuekazangu EATV niangalie zangu ujenzi naona ka kuna madini napataa ...then nanyanyuka na sepaaa..
 
Huu ugomvi wa CLOUDS VS WASAFI siuoni hata kidogo. Umetengenezwa ili kuifanya mawingu iwepo ilipo.

Mungu_Shetani
Ubepari_Ujamaa
Christian_Islamic
China_Marekani
Israel_Palestina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…