Hongera sana Diamond Platnumz kwa kutambua mchango wa AY kwenye mafanikio yako

Elly_corner

Senior Member
Joined
May 5, 2015
Posts
120
Reaction score
205
Imekua ni vigumu sana kwa watu wenye majina makubwa kama diamond kutambua mchango wa watu flani waliomsaidia kufika level flan ya maendeleo...

Personally nimependa sana alichokipost huyu kijana katika page yake ya instagram na hapa anazidi kunifanya niwashangae watu wanaodai kua chibu ana dharau...

Keep it up brother, you inspire a bunch of youths to struggle, na wewe ni kielelezo kizuri cha msemo wa "kila kitu kinawezekana chini ya jua" no matter where you from OR who you are, the only thing that matters is the commitment and efforts you put in what you do...
 
Mkuu ungeandika kiswahili ingekuwa nzuri zaidi. ninamaanisha kuwa naogopa kukwambia kuwa kingereza chako hakijakaa vizuri rafiki
 
Mie jamani natamani kumuandikia diamond platnum makala itakayo busu historia yake. So if its possible how could i meet with him
 
We andika tu,,, mfuate babu tale na management yake nzima then warakufanyia kilakitu uonane nae umfanyie recordin then uandae documentary ts gud thing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…