Hongera Sana FaizaFoxy, Mshindi wa U-miss JF 2023/2024

Umehamia huku? Umehama kabisa kwenye kuandika mambo ya kutumia akili. Kwa sasa umejikita kwenye udaku , umbea na ushakunaku... 😃
 
Dah nimeshtuka nikazani Genta nae aligombea umiss kumbe alikuwa kampeni meneja wa Leejay49
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…