Uchaguzi 2020 Hongera sana ITV kukataa kutumika kipindi hiki kuelekea yeriko

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
3,474
Reaction score
3,744
Wasalaam,
Nachukua fursa hii kuwapongeza sana ITV kwa taarifa ya habari ya SAA mbili kwa kujali na kutoa muda sawa kwa wagombea wa nafasi ya urais was JMT. Hakika ITV ni super brand Afrika mashariki na kati hamjaongeza wala kupunguza, hamjaegemea upande wowote, hamjaonyosha ukada.
Ova.

Maendeleo yana vyama.
 
Utasababisha Abas na Polepole kesho wawapigie simu.

Waache dawa iwaingie kimya kimya.

Kura wataiba ila tunataka wajue tu watanzania hatuwapendi pia hatuwataki!

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Vyama vya kikanda wakati wote vinahisi vinaonewa.
 
Wasalaam,
Nachukua fursa hii kuwapongeza sana ITV kwa taarifa ya habari ya SAA mbili kwa kujali na kutoa muda sawa kwa wagombea wa nafasi ya urais was JMT. Hakika ITV ni super brand Afrika mashariki na kati hamjaongeza wala kupunguza, hamjaegemea upande wowote, hamjaonyosha ukada.
Ova.

Maendeleo yana vyama.
Wamejiongeza baada ya kuona mbuyu unatitia

Jr[emoji769]
 
Washasoma Alana za nyakati kuwa Dicteta anaanguka.

We uoni hata tbc washashutuka na wakaomba maridhiano.
 
Wasalaam,
Nachukua fursa hii kuwapongeza sana ITV kwa taarifa ya habari ya SAA mbili kwa kujali na kutoa muda sawa kwa wagombea wa nafasi ya urais was JMT. Hakika ITV ni super brand Afrika mashariki na kati hamjaongeza wala kupunguza, hamjaegemea upande wowote, hamjaonyosha ukada.
Ova.

Maendeleo yana vyama.
Ccm tutaendelea kuwatumia vijana wetu wa TBCCM
 
Wasalaam,
Nachukua fursa hii kuwapongeza sana ITV kwa taarifa ya habari ya SAA mbili kwa kujali na kutoa muda sawa kwa wagombea wa nafasi ya urais was JMT. Hakika ITV ni super brand Afrika mashariki na kati hamjaongeza wala kupunguza, hamjaegemea upande wowote, hamjaonyosha ukada.
Ova.

Maendeleo yana vyama.
Huwajui ITV wewe! Abasi akiwakoromea tu leo usiku kesho wanarudi kwenye UTOPOLO wao. Hatuna chombo cha habari Tanzania usijidanganye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom