Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Utasababisha Abas na Polepole kesho wawapigie simu.Wasalaam,
Nachukua fursa hii kuwapongeza sana ITV kwa taarifa ya habari ya SAA mbili kwa kujali na kutoa muda sawa kwa wagombea wa nafasi ya urais was JMT. Hakika ITV ni super brand Afrika mashariki na kati hamjaongeza wala kupunguza, hamjaegemea upande wowote, hamjaonyosha ukada.
Ova.
Maendeleo yana vyama.
Wamejiongeza baada ya kuona mbuyu unatitiaWasalaam,
Nachukua fursa hii kuwapongeza sana ITV kwa taarifa ya habari ya SAA mbili kwa kujali na kutoa muda sawa kwa wagombea wa nafasi ya urais was JMT. Hakika ITV ni super brand Afrika mashariki na kati hamjaongeza wala kupunguza, hamjaegemea upande wowote, hamjaonyosha ukada.
Ova.
Maendeleo yana vyama.
Vyama vya kikanda wakati wote vinahisi vinaonewa.
Ha ha ha ha MH. BAK watu wa kanda mnajielewa!!Wacha UJUHA wewe!
Ha ha ha ha MH. BAK watu wa kanda mnajielewa!!
Anakusalimu mkuu P.
Ccm tutaendelea kuwatumia vijana wetu wa TBCCMWasalaam,
Nachukua fursa hii kuwapongeza sana ITV kwa taarifa ya habari ya SAA mbili kwa kujali na kutoa muda sawa kwa wagombea wa nafasi ya urais was JMT. Hakika ITV ni super brand Afrika mashariki na kati hamjaongeza wala kupunguza, hamjaegemea upande wowote, hamjaonyosha ukada.
Ova.
Maendeleo yana vyama.
Huwajui ITV wewe! Abasi akiwakoromea tu leo usiku kesho wanarudi kwenye UTOPOLO wao. Hatuna chombo cha habari Tanzania usijidanganyeWasalaam,