Nafurahishwa mno na kitendo cha kocha Juma Kaseja katika fani yake hii ya ukocha.
Hatua unazopitia usikate tamaa kwani sasa ni kocha mkuu wa timu ya Kagera ambayo uliteremka nayo daraja na kupanda nayo.
Nakuomba, usije kukubali kuwa kocha msaidizi wa timu yoyote hasa Simba, hii itakuzuia kutengeneza CV yako ya maendeleo.
Unajuaje kama hayumo humu?Huyo Juma Kaseja yupo humu?
Kwa nini usingemfuata IG moja kwa moja kumpa huu ushauri wako?
Nipo Bro, ila Mwaka huu Uto muongeze Kibunda siyo kama kile cha mwaka jana, bila hivyo Nawakazia, Hakuna cha Shasha boy wala Bwa Shemej Aziz hawatapenya..Huyo Juma Kaseja yupo humu?
Kwa nini usingemfuata IG moja kwa moja kumpa huu ushauri wako?
Maslahi ndio yanawafanya wakubali kuwa makocha wasaidizi huwezi kuwazuia.Nafurahishwa mno na kitendo cha kocha Juma Kaseja katika fani yake hii ya ukocha.