Hongera sana kocha zahera na wachezaji wote

Wachezaji na kocha wametupa heshima kubwa sana sisi mashabiki wao sijutii kabisa michango yangu kwenye tawi langu ninayoitoa kila tukiwa nagame.

Yanga Daima
 
Kwa kweli Simba ijipange kwa Nkana. Juzi niliwatazama kupitia lunnga wakicheza kule kwao Zambia ni timu nzuri na siyo ya kubeza. Tunakushauri wewe MNYAMA ujipange vilivyo. Hao siyo kama Mbabane Swallows.
 
Dharau waliyo nayo baada ya kuifurusha Mbabane Swallows itawaponza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…