[emoji23] [emoji23] [emoji23]Niko vyema, hiyo K hiyo ulioweka hapo
Kuna huyu mdada mkubwa anaitwa Heaven on Earth, mwambie nimemkumbuka kweli kweliHahaha kumbe tulikuwa tunatype a the same time. Yani ndo nataka niombe niwekwe kwenye ratiba ya kutoa "show" lol
Good morning kaka!umenichekesha alfajiri yote hiiBraza goodmorning
Kwa jinsi ninavokujua nilikua nahofia tu zile zawadi zangu teh
Chini ili nimdunde vizuri[emoji85]Halafu unamwangukia juuu?
Mmh wewe,namie najaAise nina shida na wewe!! Nifuate ule upande mwingine chap, unakumbuka ahadi yangu?
Eimeen...Happy birthday doll. Mungu akupe maisha marefu yenye afya, baraka na utajiri
Wivu kidonda babu we[emoji108] usitamani zanguUtajiri? [emoji15] [emoji15] [emoji15] si uniombee mimi
Anza kunoa tu hiyo sauti mama,uko kwenye list tayariHahaha kumbe tulikuwa tunatype a the same time. Yani ndo nataka niombe niwekwe kwenye ratiba ya kutoa "show" lol