Tumeacha kukumbukana kwenye raha kwenye shida ndio unitafute???Aise nina shida na wewe!! Nifuate ule upande mwingine chap, unakumbuka ahadi yangu?
Sitakiiiiii umeniuzi sana.Na mie yangu inakaribia nisione unasogeza hata puaKwa jinsi ninavokujua nilikua nahofia tu zile zawadi zangu teh
Ha haa nina miaka 79 sasa. Nimekula chumvi kwakweli,si habaHongera Valentina kwa kutimiza miaka kadhaa......ila huu msemo wa miaka kadhaa si poa itabidi utuambie miaka ngapi
Uko vizuri sana we ni mmoja wa watu mnaoibeba JF Hongera sana!!
Hebu nifundishe kisukuma nikubembeleze basi mamitoSitakiiiiii umeniuzi sana.Na mie yangu inakaribia nisione unasogeza hata pua
..[emoji17]
Unahitaji mbembelezo wa haja msukuma weweTumeacha kukumbukana kwenye raha kwenye shida ndio unitafute???
Asante mpendwaHongera kwa kutimiza miaka kadhaa mamy
Mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele
Jinoe tu,si unajua yule habahatishagi lakini eeNausubiri kwa hamu lazima utakuwa wa nguvu.🙂
HatariiiiiWe mkali mno
Morning KiwatenguGoodmorning heaven
Okkk , atakuwa amezipataKuna huyu mdada mkubwa anaitwa Heaven on Earth, mwambie nimemkumbuka kweli kweli
Kuna huyu mdada mkubwa anaitwa Heaven on Earth, mwambie nimemkumbuka kweli kweli
Halafu wewehappy birthday vale......... Live long dear
Miaka 79 poa umejitahidi shemeji Mungu akupe mingine 200 hivi ili ufaidi kabisa hii dunia mpaka wakukome!!Ha haa nina miaka 79 sasa. Nimekula chumvi kwakweli,si haba
Teh na kweli watanikoma lolsMiaka 79 poa umejitahidi shemeji Mungu akupe mingine 200 hivi ili ufaidi kabisa hii dunia mpaka wakukome!!