Hongera Sana Madam CEO Barbra

wajibisha

Member
Joined
May 16, 2021
Posts
90
Reaction score
215
Hakika umekua msimu wa mafanikio kwa klabu yetu pendwa ya Simba chini ya uongozi wako Imara.

Tadhmini ya Mafinikio

1) Usajili wa Didier Gomes. Hapa tulilamba dume. Sven alikua kocha mzuri ila kwa Didier Gomes hakika CEO Madam Barbra aliupiga mwingi sana. Gomez ni Master Technician kwenye soka.

2) Kutetea ubingwa wetu wa VPL. Back to Back Champions. Haikua kazi rahisi mbele ya Yanga iliyofanya usajili wa kutisha na kubadilisha makocha wawili ndani ya msimu mmoja.

3) Kutetea ubingwa wa Azam Sports Federation Cup. Another back to back. Haikua kazi rahisi baada ya wahujumu kujaribu kututoa mchezoni. Msaliti hakupewa nafasi nyingine ya kutuumiza.

4) Kutinga robo fainali ya CAF Champions League kwa kandanda la hali ya juu.

5) Hatimaye kutujulisha wanasimba chui alievaa ngozi ya kondoo. Tumeshamjua hatusumbui tena.

Sasa Madam CEO tunasubiri union for yule aliesema utaondoka kabla yake.

Hongera sana CEO Super Woman
 
 
Anatufaa hata kuvaa kofia mbili na usemaji pia anatosha

Maneno machache mpira wanjani kwisha
 
Simba Ni club kubwa Sasa tunafikiri juu ya wekezaji mkubwamkubwa si wapiga domo bwashe

Vipi gaidi unatarifa zake zozote "nimechomekea tuh"
Yes Magaidi wako zaidi ya million 7 hata yule mume dada ako pia ni mmoja wapo mbona.
 
We love you Barbara.
Yuda escariot Chali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…