Siku hizi kuna ukosefu mkubwa wa habari kutoka kwenye media zetu karibu zote. Ukiangalia magazeti karibu yote habari zao ni uchawa mwanzo mwisho. Gazeti la nipashe angalau mhariri ameonyesha ujasiri wa kuweza kuandika bila woga na uchawa. Najua karibuni utapata misukosuko kutoka kwa mafisadi wenye madaraka, lakini kwa sasa umejaribu