Hongera sana mpwaaz kwa akili zako za kijasiriamali

Hongera sana mpwaaz kwa akili zako za kijasiriamali

Status
Not open for further replies.

Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
12,271
Reaction score
1,052
ama hakika,kama wana jf wote tutaiga mfano kama huu!....TUTAUAGA UMASKINI KABISAAAAAA😀😀

kaiza.jpg
 
Hahahaha kijiwe safi sana mpwa Kaizer nitaleta radio yangu ya mkulima utengeneze.
 
mimi nawapendaga sana wapwaaz kwasababu most of them ni GREAT THINKERS KWA VITENDO
 
Hahahahaa.Hongera Kaizer.mitaa ya wapi hii?Mwaka huu tupo kibiashara zaidi.
 
hahaha Binamu naomba shea tunasaidiana hivi hivi ukitoka na mie nafatia
 
teh tehee teheee!!!
kama sio Biharamulo, basi ni Bukoba mjini hapo!
 
Hongera binamu kwa mtaji huu kupiga desh ni mwiko,

what a great thinker u are!!
 
Geoff!!!! ndo unataka nicheke hata kama nin kisirani leo............
 
Geoff!!!! ndo unataka nicheke hata kama nin kisirani leo............
CHEKA MAMA!maisha yenyewe yako wapi ya kisirani😀😀
mpwaaz ndo ametoka hivyo
 
Na viredio na vitivii vyetu vya kichina, jamaa amefikiria kimkakati zaidi.
 
Shida moja ya kijiwe hiki ni wale wanaokosa kwa kuweka vitu vyao vya zamani wana kuja kuviacha kwako!

Baada ya mwaka tumtembelee tuone alivyojikusanyia spea!

But congrats mkuu kaiza Mkono mtupu aulambwi
 
sasa hivi hapatikani tena jf!anachungulia tu.yupo bize sana na biznec
 
2048 x 1536 pixels !! Resize your photo p'se, at least screen resolution of 1024 x 768 pixels.
 
CHEKA MAMA!maisha yenyewe yako wapi ya kisirani😀😀
mpwaaz ndo ametoka hivyo

na kweli
B wa ukweli ndo maana hapa kati alikuwa busy kama nyuki
 
Wajameni mambo ndo kama ivo mwaka huu 2010 kikazi zaidi

si mwaniona nipo mlangoni hapo nawasubiria wateja

Tv na electronics za kisasa na zamani zote zinapokelewa

Mteja kwangu mfalme

Karibuni sana
 
Wajameni mambo ndo kama ivo mwaka huu 2010 kikazi zaidi

si mwaniona nipo mlangoni hapo nawasubiria wateja

Tv na electronics za kisasa na zamani zote zinapokelewa

Mteja kwangu mfalme

Karibuni sana
HAHAHAHA!mwaka wa biashara huu bana😀
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom