Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Wakolaaa waitu.....Hongera akanana.. Honey Faith...
Kwa roho mbaya Tanzania hii unaweza kuongozaOle wako umpe zile nlizikununulia Jakarta.
[emoji119] [emoji119] Hapanaaa usinitoe kwenye list, basi kesho ntaumwa asbh ili nisiende kazini[emoji12] [emoji12] [emoji12] plz kama kuna mtoko naomba taarifa.Sasa kwangu saa nne ndio mda wa kupiga vitu vyangu so wewe nakuondoa kwenye list.....lol
Subiri mualiko pm ukiona kimya ujue umetolewa kwenye list...[emoji119] [emoji119] Hapanaaa usinitoe kwenye list, basi kesho ntaumwa asbh ili nisiende kazini[emoji12] [emoji12] [emoji12] plz kama kuna mtoko naomba taarifa.
Mh haya ngoja tusubirie pm [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Subiri mualiko pm ukiona kimya ujue umetolewa kwenye list...
Ndege wangu mwenyewe wala sihitaji manatiKwa roho mbaya Tanzania hii unaweza kuongoza
ii karne mpya wewe endelea kukarili misemo ya kizamaniNdege wangu mwenyewe wala sihitaji manati
Tuliza ball. Honey Faith haendi popote bila kibali changu.[emoji119] [emoji119] Hapanaaa usinitoe kwenye list, basi kesho ntaumwa asbh ili nisiende kazini[emoji12] [emoji12] [emoji12] plz kama kuna mtoko naomba taarifa.
Usijali mie na kiwatengu tena any time nikitaka nitafanya interviewkwa heshima yako kamanda kiwatengu naomba karata ya EXCLUSSIVE INTERVIEW ijayo{itapendeza ikiwa leo jioni/usiku} imuangukie dada Honey Faith kwa heshima ya siku yake muhimu ya leo.
yours Tetramelyz
Usimkate stimu friend wangu....
Nishatuliza [emoji460] [emoji461] [emoji462] blaza
Uwiiii usinivunjie ndoa zangu hapa nilipo nimewapanga sasa na wewe tena?Happy birthday mchuchu
Thanks.Long time jamani ulijificha wapi?Happy birthday kwakweli
Ha haa haaa.......Thanks.Long time jamani ulijificha wapi?
Ok naisubiriaHa haa haaa.......
Niliposikia tu birthday yako naandaa keki hapa...
Ewaaaaaa, sasa sogea kipande hii ulishwe keki na upulize mishumaaOk naisubiria