Hongera sana Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, umehusika kuvumbua Marais watatu wa Taifa letu

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,051
Reaction score
51,217
Nimesikiliza hotuba za Dkt. Shein na Dkt. Mwinyi katika mkutano mkuu wa CCM

Nimejifunza jambo moja la muhimu kuwa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa alihusika kuona vipaji vya uongozi vya Dkt. Shein, Dkt. Mwinyi na Dkt. Magufuli.

Niheshima kubwa sana kuyashuhudia haya.

Hongera sana.
 
Alafu wote wana Title ya Dr

Ila kwa Dr Shein, shukrani za kipekee zimuendee aliyekuwa Rais wa Zenji Salmin Amour ambapo alimteua Shein ktk Baraza la wawakilishi kupitia viti maalum baada ya kushindwa ktk uchaguzi jimboni
 
Atakuwa alilielewa vizuri somo la succession plan.

Kwa definition.

Succession planning is a process for identifying and developing new leaders who can replace old leaders when they leave, retire or die. Succession planning increases the availability of experienced and capable employees that are prepared to assume these roles as they become available.
 
Vital part of masonic + Jesuits mission to unveil the forthcoming Illuminati Messiah.
 
Mkapa anajuta kwanini aliwapitisha akina jiwe sasa wamekuwa kituko kabisa na wameharibu demokrasia waliyoanzisha.
 
Alafu wote wana Title ya Dr

Ila kwa Dr Shein, shukrani za kipekee zimuendee aliyekuwa Rais wa Zenji Salmin Amour ambapo alimteua Shein ktk Baraza la wawakilishi kupitia viti maalum baada ya kushindwa ktk uchaguzi jimboni
Mkapa pia ana sehemu yake, akifuatiwa na Mzee Kikwete.
 
Mkapa anajuta kwanini aliwapitisha akina jiwe sasa wamekuwa kituko kabisa na wameharibu demokrasia waliyoanzisha.
Demokrasia ipi? Ya wapinzani kushinda uchaguzi? Nyie kwanza sio wapinzani. Nyie ni mashetani wakubwa. Mnalazimisha uongozi kwa njia zauongo. Eti serikali ya Rais Magufuli inaua watu na kufanya wengine wapotee. Washenzi wakubwa nyie.

Wengine wanafanya kila hila ya kuamua kumchukia kiongozi wetu bila sababu. Eti Magufuli amempiga risasi. Kenge mkubwa huyo. Magufuli ampige risasi Lissu? Ana nini cha muhimu ambacho kitamfanya Rais Magufuli aamuru apigwe risasi yeye. Kwa lipi?

Wengine wanathubutu hata kwenda World Bank kuzuia mkopo wa watoto ambao wao wanadai wanatetea haki zao. Wajinga wakubwa hao. Hawana maana kwa Taifa letu. Ni wanafiki wa kupindukia.
 
Nyie mnaona sawa tu kwa vyama vingine kufungiwa kufanya mikusanyiko wakati ccm inafanya. Ni sawa tu kwa watu kutekwa na kuuwawa bila polisi kufanya uchunguzi. Ni sawa mikutano hata ya ndani ya vyama kuvamiwa na polisi kama tulivyoona kwa ACT , CDM na CUF. Ni sawa mambo aliyofanya waziri Jafo juzi kule Arusha kumtimua engineer eti ameshindwa kuleta watu. Nyie ni watu wasiofikiri na wasiopenda haki na watu wa kupenda vilivyoendelezwa kamwe hamuwezi kuanzisha vya kwenu. Mtaendelea kuwa mdebwedo wa nchi hii.
 
Kumbe na wewe ni mataga
 
Pole kwa wote waliofikwa na msiba wa Mzee Mkapa.

Mchango wako kwa Taifa letu unatambulika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…