R RtsHjcq JF-Expert Member Joined Aug 19, 2017 Posts 4,753 Reaction score 5,512 Mar 18, 2021 #21 Kwa hilo nawapongeza...wamejitahidi. Ila kwa wakna Mdee na wenzake bado pagumu
Kilawo JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 1,631 Reaction score 2,778 Mar 18, 2021 #23 Hatimae CHADEMA ameiyacha mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Mar 18, 2021 #24 papason said: Ndani ya CCM sioni yoyote yule wa kuvaa viatu vyake, Click to expand... Na asiwepo. Wali asiwepo mtu wa kuiga tabia na mienendo ya Magufuli. Aondoke nayo kabisa
papason said: Ndani ya CCM sioni yoyote yule wa kuvaa viatu vyake, Click to expand... Na asiwepo. Wali asiwepo mtu wa kuiga tabia na mienendo ya Magufuli. Aondoke nayo kabisa
famicho JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,191 Reaction score 2,857 Mar 18, 2021 #25 Kinachoniuma zaidi hajatuachia kitabu chake kama kumbukumbu... Daaah
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Mar 18, 2021 #26 Hata hili litapita
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Mar 18, 2021 #27 Elli Mshana said: Kuna watu hao ndio wananipa wasi wasi tu, japo ni wachache lakini wanafahamu mengi hivyo kuwa ngumu kuwaondosha Click to expand... Na haya yatapita mkuu
Elli Mshana said: Kuna watu hao ndio wananipa wasi wasi tu, japo ni wachache lakini wanafahamu mengi hivyo kuwa ngumu kuwaondosha Click to expand... Na haya yatapita mkuu
M mama kubwa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 6,230 Reaction score 9,889 Mar 18, 2021 #28 Moisemusajiografii said: Muheshimiwa mleta uzi, mzee Magufuli alikuwa ananikera lakini leo nimelengwa na machozi. Yule mzee nitamkumbuka.😢😢😢😢 Click to expand... Anaeshangilia kifo hajawahi kufiwa. Sio shabiki wake lakini sijafurahi na siwezi kumkashifu asilani, Ila ukweli nitaongea sio WA kuudhi MTU.
Moisemusajiografii said: Muheshimiwa mleta uzi, mzee Magufuli alikuwa ananikera lakini leo nimelengwa na machozi. Yule mzee nitamkumbuka.😢😢😢😢 Click to expand... Anaeshangilia kifo hajawahi kufiwa. Sio shabiki wake lakini sijafurahi na siwezi kumkashifu asilani, Ila ukweli nitaongea sio WA kuudhi MTU.