Hongera Serengeti Boys

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
1,278
Reaction score
1,553
Muhimu cha kuangalia kwa viongozi, Timu inapokuwa U17 inakuwa na uwezo mzuri sana kwakuwa umri wa hadi 15 ni wa kufundishika na kuelewa haraka kwa kuiga na matamanio ya kuwa kama Fulani! Ni kipindi cha kuwalea vizuri sana watoto na kuwapatia academy za nje ya nchi kupata Exposure! Hawa U17 wetu wakicheza na Brazil, Argentina, Germany.
.....
Uaweza ukashangaa wakashinda kiurahisi tu, lakini wakifikia timu za wakubwa wakafungwa magoli mengi ajabu!!
Kipindi cha miaka 18-21 ni daraja la maandalizi ya mtoto kucheza mpira wa kufundishwa zaidi kitaalam kutumia muda mwingi Akili yake kuusoma mchezo. Hapo ndipo tunapoteza uwezo wa hawa watoto na mwisho wa siku wanapotea na kutoonekana kabisa katika soka wakati wenzao walioshindana nao kwenye U17 na wakawafunga, watakuwa kwenye ligi kubwa nje!
Viongozi wa soka tafuteni njia sahihi ya kulinda na kukuza vipaji vya hawa watoto ikiwa ni pamoja na mahusiano na Shule za Ulaya zenye majina na uwezo wa kulea vipaji.
Muda huu muwajenge zaidi kisaikolojia
 
Jana ilikuwa siku nzuri sana, huku Yanga, hapa Serengeti boys pale Liverpool. Mungu akupe nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…