Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
Dadadeki na unakuta Written hapiti๐Kuna dogo anaconnection kaambiwa yeye apite tu written kazi ipo uhakika.
Kama unaamini uko smart kichwani kwanini unaogopa usaili?Ni mbumbumbu tu anayeweza kuamini kuwa usaili ndio wenye uwezo wa kutupatia walimu bora!! Usaili unasaidia tu kuondoa wengine na kubakiza wachache kulingana na nafasi zilizopo!! Utaratibu wa usaili haufai kabisa kwa taaluma ya ualimu na afya.
Utaratibu wa zamani wa TAMISEMI kuwapangia walimu na watumishi wa afya vituo vya kazi kwa utaratibu wa FOLENI huo ndio unaofaa!! Kila aliyehitimu anafaa!! kama hafai kutokufaa kwake hakuwezi kugundulika kwa usaili!!
Inabidi tuviamini vyuo vilivyowafundisha na kuwatunukia vyeti vya kuhitimu!! Daktari asomee taaluma yake kwa miaka 6 kisha bodi yake ikampima na kumpatia leseni, halafu anakuja mtu anadai anaweza kupima ubora wa daktari huyu kupitia usaili wa dakika chache tu kwa siku moja! (haya ni matusi).
Hali kadhalika kwa walimu!!
Ndiyo maana watu wengi wameipongeza serikali kwa sitisho hilo wakiamini kuwa utaratibu wa zamani utarudishwa!! Kuwafanyisha usaili walimu walio malaki ni uharibifu wa rasilimali fedha na muda!!
naukute naye alikuwa mwalimuAliyeleta usaili kwa walimu ni mpumbavu na mbinafsi
Hadi upime ubora kwani wanafunzi wanafeli auKwa mujibu wa maelezo ya waziri usaili huu unapunguza upendeleo na kupata walimu bora
Swala la upendeleo; bado unaweza kuwepo kwani majibu ya oral interview sio ya wazi na haraka kama ulivyo wa written ambao mara baada ya kumaliza interview majibu yanatoka na unaona upo selected kuendelea na usaili wa oral. Cha kushangaza baada ya usaili wa oral inachukua zaidi ya mwezi mzima watu kupata majibu ambayo tena ni kuitwa kazini huku wakisema baadhi yao walikuwa kwenye database na mtu baada ya usaili wa oral anakuwa hajui kama yupo kwenye database au lah. Kwa mfumo huu bado suala upendeleo linaweza kuwepo kwanini majibu ya oral pia yasitolewe mapema au kuna vitu wanakuwa wana balance?? Na ndio mana kuna fununu za watu kuambiwa wewe pita written tu kazi utapata
Suala la walimu bora; ualimu ni kama udereva umahili wa dereva unaweza kupimwa akipewa gari anayosema kajifunzia sidhani kama kumpima mwalimu pasipo kuingia darasani kumuona akifundisha kunaweza kumbaini mwalimu bora. Yaan ahojiwe kwa dakika kumi uweze kujua ubora wake ilhali alistahili kupimwa akiwa anafundisha mana ndio msingi mkuu wa kumtambua mwalimu bora hata mashule ya private hufanya hvyo katika mchakato wa kupata walimu bora.
My take; sipingi walimu kufanyiwa usaili lkn ningeshauri uwekwe utaratibu mzuri utakaoendana na idadi ya walimu wanaoomba kazi huku mianya ya upendeleo ikizibwa na utaratibu huo mfano baada ya written wabakizwe watu watatu kwa nafasi moja ya kazi idadi haitazidi 32000 then hao ngoma iende hadi darasani
Ma CCM hayatakuelewa. Ma CCM na viunga vyake ni Mbwa.Kwa mujibu wa maelezo ya waziri usaili huu unapunguza upendeleo na kupata walimu bora

Hoja yako haina miguu ya kusimamia. Mbona Kada zingine kama uhandisi, IT, sheria, kilimo , uhamiaji, polisi, JWTZ, usaili na michujo hufanyika.Ni mbumbumbu tu anayeweza kuamini kuwa usaili ndio wenye uwezo wa kutupatia walimu bora!! Usaili unasaidia tu kuondoa wengine na kubakiza wachache kulingana na nafasi zilizopo!! Utaratibu wa usaili haufai kabisa kwa taaluma ya ualimu na afya.
Utaratibu wa zamani wa TAMISEMI kuwapangia walimu na watumishi wa afya vituo vya kazi kwa utaratibu wa FOLENI huo ndio unaofaa!! Kila aliyehitimu anafaa!! kama hafai kutokufaa kwake hakuwezi kugundulika kwa usaili!!
Inabidi tuviamini vyuo vilivyowafundisha na kuwatunukia vyeti vya kuhitimu!! Daktari asomee taaluma yake kwa miaka 6 kisha bodi yake ikampima na kumpatia leseni, halafu anakuja mtu anadai anaweza kupima ubora wa daktari huyu kupitia usaili wa dakika chache tu kwa siku moja! (haya ni matusi).
Hali kadhalika kwa walimu!!
Ndiyo maana watu wengi wameipongeza serikali kwa sitisho hilo wakiamini kuwa utaratibu wa zamani utarudishwa!! Kuwafanyisha usaili walimu walio malaki ni uharibifu wa rasilimali fedha na muda!!
Hongera.Kuna dogo anaconnection kaambiwa yeye apite tu written kazi ipo uhakika.
Jata serikali ikiamua kuajiri wote 176054 bado nchi ingekuwa na uhaba wa walimu zaidi ya 150k na ukizingatia kila mwaka shule mpya za serikali zinafunguliwaPSRS mwaka huu wamejizolea umaarufu. Hizi ndio takwimu Walioitwa kwenye usaili wa ualimu/ Nafasi zinazohitajika:
WANAOHITAJIKA KWA KILA KADA YA UALIMU/WALIOITWA KWENYE USAILI
1. Daraja la IIIA (Awali)= 20/2024
2. IIIA = 2851/15,640
3. IIIA (Maalum)=13/225
Daraja la IIIB
1. Geography= 175/2878
2. Kemia = 488/3551
3. Bios = 505/3173
4. Tehama = 59/399
5. Awali = 15/846
6. Kiswahili = 142/2400
7. Msingi = 464/2351
8. Civics = 59/ 419
9. History = 152/2269
10. Physics = 740/1513
11. B/maths = 663/1919
12. English = 390/1548
13. Literature = 65/36
14. French = 2/4
15. Bookping =24/75
16. Agriculture = 29/215
17. Commerce = 23/79
18. Maalum = 7/13
19. Food & Nutrition = 2/34
20. Textile = 2/ 4
Daraja la IIIC
1. Kiswahili = 184/28,202
2. Geography = 310/26,770
3. History = 211/21,407
4. Literature = 64/7,489
5. English = 412/15,225
6. Bios = 515/11,837
7. Economics = 16/2,698
8. Tehama = 33/1160
9. Agriculture = 31/546
10. Msingi = 37/975
11. Kemia = 544/9891
12. Maalum = 3/ 1011
13. Civics = 46/1622
14. Physics = 633/ 865
15. B/maths = 662/2033
16. Bookping = 19/589
17. French = 3/77
18. Commerce = 22/845
19. Lab Technician = 380/1197
Generally
Wanaoitajika 11,015
Walioitwa usahili 176,054
Mi nnachokijua ukiwa na connection inabidi hata kama umefeli written(interview) inakubidi upite si una connection bhana.kama hiyo connection haiwezi kukupitisha ukiwa umefeli basi hamna connection apo. Maana watu wanatafuta connection ili wapite by any meansDadadeki na unakuta Written hapiti๐
Kuna dogo anaconnection kaambiwa yeye apite tu written kazi ipo uhakika
kama ni wewe ndugu umeambiwa upite written basi huna connection hapo una beti kama wengine maana ya connection ni kwamba hata ufeli written wewe ni uhakika hata upate 0 kama una connection unapita sasa unakua na connection inakuambia ufaulu written hiyo sio connection ndugu umetapeliwa. Ogopa sanaKuna dogo anaconnection kaambiwa yeye apite tu written kazi ipo uhakika.
AiseeAliyeleta usaili kwa walimu ni mpumbavu na mbinafsi
halafu we jamaa ndo umeleta mikosi mpka tunaenda xmax walim waomb Ajira hawajui A wala BNi mbumbumbu tu anayeweza kuamini kuwa usaili ndio wenye uwezo wa kutupatia walimu bora!! Usaili unasaidia tu kuondoa wengine na kubakiza wachache kulingana na nafasi zilizopo!! Utaratibu wa usaili haufai kabisa kwa taaluma ya ualimu na afya.
Utaratibu wa zamani wa TAMISEMI kuwapangia walimu na watumishi wa afya vituo vya kazi kwa utaratibu wa FOLENI huo ndio unaofaa!! Kila aliyehitimu anafaa!! kama hafai kutokufaa kwake hakuwezi kugundulika kwa usaili!!
Inabidi tuviamini vyuo vilivyowafundisha na kuwatunukia vyeti vya kuhitimu!! Daktari asomee taaluma yake kwa miaka 6 kisha bodi yake ikampima na kumpatia leseni, halafu anakuja mtu anadai anaweza kupima ubora wa daktari huyu kupitia usaili wa dakika chache tu kwa siku moja! (haya ni matusi).
Hali kadhalika kwa walimu!!
Ndiyo maana watu wengi wameipongeza serikali kwa sitisho hilo wakiamini kuwa utaratibu wa zamani utarudishwa!! Kuwafanyisha usaili walimu walio malaki ni uharibifu wa rasilimali fedha na muda!!
Unaaibisha ualimu wako.Ni mbumbumbu tu anayeweza kuamini kuwa usaili ndio wenye uwezo wa kutupatia walimu bora!! Usaili unasaidia tu kuondoa wengine na kubakiza wachache kulingana na nafasi zilizopo!! Utaratibu wa usaili haufai kabisa kwa taaluma ya ualimu na afya.
Utaratibu wa zamani wa TAMISEMI kuwapangia walimu na watumishi wa afya vituo vya kazi kwa utaratibu wa FOLENI huo ndio unaofaa!! Kila aliyehitimu anafaa!! kama hafai kutokufaa kwake hakuwezi kugundulika kwa usaili!!
Inabidi tuviamini vyuo vilivyowafundisha na kuwatunukia vyeti vya kuhitimu!! Daktari asomee taaluma yake kwa miaka 6 kisha bodi yake ikampima na kumpatia leseni, halafu anakuja mtu anadai anaweza kupima ubora wa daktari huyu kupitia usaili wa dakika chache tu kwa siku moja! (haya ni matusi).
Hali kadhalika kwa walimu!!
Ndiyo maana watu wengi wameipongeza serikali kwa sitisho hilo wakiamini kuwa utaratibu wa zamani utarudishwa!! Kuwafanyisha usaili walimu walio malaki ni uharibifu wa rasilimali fedha na muda!!
Ww n mpumbavu. Na usaili utafanya tuu utake usitake.Ni mbumbumbu tu anayeweza kuamini kuwa usaili ndio wenye uwezo wa kutupatia walimu bora!! Usaili unasaidia tu kuondoa wengine na kubakiza wachache kulingana na nafasi zilizopo!! Utaratibu wa usaili haufai kabisa kwa taaluma ya ualimu na afya.
Utaratibu wa zamani wa TAMISEMI kuwapangia walimu na watumishi wa afya vituo vya kazi kwa utaratibu wa FOLENI huo ndio unaofaa!! Kila aliyehitimu anafaa!! kama hafai kutokufaa kwake hakuwezi kugundulika kwa usaili!!
Inabidi tuviamini vyuo vilivyowafundisha na kuwatunukia vyeti vya kuhitimu!! Daktari asomee taaluma yake kwa miaka 6 kisha bodi yake ikampima na kumpatia leseni, halafu anakuja mtu anadai anaweza kupima ubora wa daktari huyu kupitia usaili wa dakika chache tu kwa siku moja! (haya ni matusi).
Hali kadhalika kwa walimu!!
Ndiyo maana watu wengi wameipongeza serikali kwa sitisho hilo wakiamini kuwa utaratibu wa zamani utarudishwa!! Kuwafanyisha usaili walimu walio malaki ni uharibifu wa rasilimali fedha na muda!!
Wee zile za majeshi usaili au kusanyiko na kukidhi tu vigezo vya mchakato wa ajira hili majina yaliyopitiswa na wakubwa yawe halali waseme wamechuja usaili umefanyika wamepatikana Hawa kusiwe na kuojiwa.Hoja yako haina miguu ya kusimamia. Mbona Kada zingine kama uhandisi, IT, sheria, kilimo , uhamiaji, polisi, JWTZ, usaili na michujo hufanyika.
๐๐๐Ww n mpumbavu. Na usaili utafanya tuu utake usitake.
Yani usaili upo wakuu maana hamna tangazo la kusema tutachagua juu kwa juu watu waoga ndio wameleta sera hizo. Hapa inaonekana walim wataingia usaili na Hawa waalimu wa businesses walioanza kuaply hivi karibuni๐๐๐