Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
Ndo nini bwashee, mmekuaje kwenu hapo nani alikuwa anaumwa??Kudos
Shida za huku duniani tu bwashee🤧, nikakutana na bendera ya Amani. Kidogo nishtuke.Ndo nini bwashee, mmekuaje kwenu hapo nani alikuwa anaumwa??
Peace ni mlango tu wa nyuma. Ushoga nyuma ya amani.Benders yenye rangi ya ushoga na yenye kuashiria amani zinafananiana kwa asiyezijua. .
Peace ni mlango tu wa nyuma. Ushoga nyuma ya amani.
Waweke bendera white waandike peace.
Ku....ake wapi hiyo?Kudos