Hongera sana sana Serikali ya Dr. Husein Mwinyi kuonyesha njia ya utendaji haki, Haki sawa kwa wote ni baada ya polisi kumpiga na kumtesa vibaya sana mwandishi kutoka Tanzania mainland wa gazeti la wananchi anaefanyia shughuli zake Zanzibar.
Serikali kupitia Mawaziri wake wawili wa habari na vikosi vya ulinzi vimeazimia kutenda haki na kumchukulia au kuwachukulia hatua askari waliomtesa mwandishi huyo anaeitwa Jessie Jackson hadi kupoteza fahamu na vitendea kazi vyake ikiwemo simu ya iphone macho nane ya kisasa kabisa.
Kilichowasikitisha wananchi ni kwa askari hao kumuamurisha mwandishi agalegale kwenye maji machafu ya karo za mivi,kama mnavyoijua Zanzibar michirizi ya maji machau ndio kwao.