REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Watalamu wa lugha na imani mtakuwa pamoja na miye
Jambo ambalo shilole analifanya kwa sasa inaonekana kama utani ila kwa mtu anayejifunza kingereza au aliyejifunza kingereza anaweza kuwa shahidi kipindi anaanza jifunza lugha ilikiwaje makosa yalikuwa mengi
Na tumekuwa mashahidi kwa wale wanajua lugha Mala nyingi mtu asiyejua lugha furani ila anajua nadharia huwa ni mafundi sana wakukosoa wenzao ila kwa mtalam wa lugha katu hawezi mcheka mtu anayejifunza lugha au akikosea kuongea kwani yale makosa yanapotokea na kuyajua ndio huwa msaada kwake wa kujua lugha
Hivyo basi na imani na ninamin shilole atakuja kuwa mzungumzaji mzuri wa lugha ya kingereza zaidi ya ambao sasa humbeza na kumcheka kwani anachofanya shilole sasa ndio dawa ya Kujua lugha kwani anajijengea kujiamini pia kusahisha makosa
Hivyo basi dada yetu usikate tamaa wewe kaza hivyo hivyo mwisho wa Siku unakuja kujua Kumbe yule furani alikuwa ananicheka bure tu kisa kasoma mpaka kidato furani ila Kumbe naye hamjui so kaza dada