Hongera Simba mmepambana kiume

Hongera Simba mmepambana kiume

emmadizzo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,340
Reaction score
1,445
habari zenu ndugu zangu wanasimba kwanza nichukue fursa hii kuwapongeza kwa pambano la kibabe kabisa, tunakubali mpira unamatokeo matatu na ayo tumeyapokea.

Hongereni wachezaji mmejitoa kwa hakika hamna baya pongezi nyingi kwa kocha wetu Robertinho hakika umeonyesha uwezo na mbinu kabambe bingwa mtetezi alikuwa anaumbuka..

Yote kwa yote tumejifunza mengi zaidi na tunajipanga tena upya kuja vitani na mbinu zaki russi..

astalavista..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1Simba wanastahili pongezi kwakweli.

2Huyu mtoto kibu denis ni nyoko

3unaambiwa waarabu wanajadili kuhusu huyu mtoto, kocha wa wydad anamtaka kibu denis.

4chama hongera japo makosa ni sehemu ya mchezo.

5onyango kwaheri kila la heri

6Kwenye matuta pengo la manura limeonekana
 
habari zenu ndugu zangu wanasimba kwanza nichukue fursa hii kuwapongeza kwa pambano la kibabe kabisa, tunakubali mpira unamatokeo matatu na ayo tumeyapokea.

Hongereni wachezaji mmejitoa kwa hakika hamna baya pongezi nyingi kwa kocha wetu Robertinho hakika umeonyesha uwezo na mbinu kabambe bingwa mtetezi alikuwa anaumbuka..

Yote kwa yote tumejifunza mengi zaidi na tunajipanga tena upya kuja vitani na mbinu zaki russi..

astalavista..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmepigwa kimoko
Mmekosa penalty 2
MMETOLEWA
hapo kufungwa kiume?

MMETOLEWA RUDINI BUNJU
 
Ahueni safari hii wachezaji na benchi la ufundi hawajaangushiwa gunia la lawama.
 
Anayepambana kiume na anayesonga mbele
 
Back
Top Bottom