Mbumbumbu huyo msamehe bureKwan waydad wamepambana ki kike mkuu
angeenda lofa pale angepigwa hata tano.Mbumbumbu huyo msamehe bure
Waarabu hawakuamini kinachoendelea mpaka dakika ya 90 basi tu penati lolote linatokea.Kwan waydad wamepambana ki kike mkuu
Mmepigwa kimokohabari zenu ndugu zangu wanasimba kwanza nichukue fursa hii kuwapongeza kwa pambano la kibabe kabisa, tunakubali mpira unamatokeo matatu na ayo tumeyapokea.
Hongereni wachezaji mmejitoa kwa hakika hamna baya pongezi nyingi kwa kocha wetu Robertinho hakika umeonyesha uwezo na mbinu kabambe bingwa mtetezi alikuwa anaumbuka..
Yote kwa yote tumejifunza mengi zaidi na tunajipanga tena upya kuja vitani na mbinu zaki russi..
astalavista..
Sent using Jamii Forums mobile app