econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 Aug 14, 2023 #41 Hongera Sana mkuu Kuna wanafiki walikuzodoa, ila Sasa hivi wamekimbia.
Pettymagambo JF-Expert Member Joined Aug 21, 2017 Posts 1,490 Reaction score 8,227 Aug 14, 2023 #42 adriz said: Ugonjwa wa akili upo sio masihara. Click to expand... Mzee njoo uone utoqo ulioandika huku.
adriz said: Ugonjwa wa akili upo sio masihara. Click to expand... Mzee njoo uone utoqo ulioandika huku.
Pettymagambo JF-Expert Member Joined Aug 21, 2017 Posts 1,490 Reaction score 8,227 Aug 14, 2023 #43 Dr Matola PhD said: Ifike wakati turudishe heshima ya JF ambayo inaporomoshwa na mataahira kama wewe. Click to expand... Vipi kati yake mleta uzi na wewe cha ubishi, ni yupi taahira? sema ukweli.
Dr Matola PhD said: Ifike wakati turudishe heshima ya JF ambayo inaporomoshwa na mataahira kama wewe. Click to expand... Vipi kati yake mleta uzi na wewe cha ubishi, ni yupi taahira? sema ukweli.
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Aug 14, 2023 #44 Pettymagambo said: Mzee njoo uone utoqo ulioandika huku. Click to expand... Sio utopolo ,angesema ni utabiri sawa lakini yeye amesema kana kwamba ni jambo la uhakika iwe isiwe kitu ambacho hakipo kwenye soka.
Pettymagambo said: Mzee njoo uone utoqo ulioandika huku. Click to expand... Sio utopolo ,angesema ni utabiri sawa lakini yeye amesema kana kwamba ni jambo la uhakika iwe isiwe kitu ambacho hakipo kwenye soka.