Hongera Simba SC

Hongera Simba SC

Joined
Jun 3, 2014
Posts
63
Reaction score
68
Kwanza niwaze hongera sana Simba kwa kufikia hatua ya pili ya mitano, baada ya kuwatoa Nigeria, sasa mnaenda kukutana na timu ngumu, msibweteke.

Naomba mkajitahidi angalau muwafunge kwao hao platinum ua Zimbabwe. Naamini itakua na mtashinda. Nasi Watz Tunawaombea mfike mbali zaidi na muwe mabalozi wa Nchi.

By brother kakapielo
 
Asante kwa kututakia mema, kama wewe ni yanga na unawatakia mema simba hakika maisha yako yatakua na mafanikio pia utaishi miaka mingi hapa duniani.
 
Uzi hautembei kabisa...mmepatwa na Nini nyie mikia? Mfadhaiko wa akili?
 
Back
Top Bottom