Huu wimbo unanikumbusha mbali sanaSitaki demu........
Hongera sana sinta .Msanii mkongwe wa maigizo nchini, christina manongi maarufu kama sintah , amewashtua baadhi ya mashabiki wake baada ya hivi karibuni kuibuka baada ya ukimya wa muda mrefu, ambapo imejulikana mrembo huyo aliyewahi kuwa mpenzi wa juma nature alikuwa busy akipiga kitabu ambapo sasa hivi amegraduate postgraduate ya diplomasia. Hata hivyo baadhi ya mashabiki zake wamempongeza sintah kwa uamuzi wake huo wa kurudi shule tofauti na wakongwe wenzio ambao miaka nenda rudi wapo vile vile
Kama kipi mkuu? Niko na Dr. Joyce Ndalichako hapa karibuBaadhi ya vyuo inabidi vifutwe kweli..
sidhani kama vina ugomvi, labda ana masters ya kitu kingineKuna mtu alisema humu k ana Masters (MBA)! Sasa hiyo PGD yanini tena?
Halafu ni chuo gani?
Mkuu huyo unayemjibu ndio vichwa vinavyoitwa vyenye akili kubwa pale Lumumba. Sasa kama anasema hivyo utakuwa umepata majibu uwezo wake ukoje na wa hao wanaomuona geniussidhani kama vina ugomvi, labda ana masters ya kitu kingine
Afunge ila akatafute pa.kuwapeleka hao wanafunzi waliokuwa wanasoma kwenye hivyo vyuoKama kipi mkuu? Niko na Dr. Joyce Ndalichako hapa karibu
Ni kweli havina ugomvi lakini nilichotaka kujua ni kama ni kweli ana MBA.sidhani kama vina ugomvi, labda ana masters ya kitu kingine
Ha ha ha yule angekuwa mpk professa.mama ubaya nae angerudi shule angekua na Phd sasa hivi
Ngoja waje hapa wenye mtu wao, majibu yatapatikana tuNi kweli havina ugomvi lakini nilichotaka kujua ni kama ni kweli ana MBA.
Hahahhahaaaa hii kali sana MpwaMkuu huyo unayemjibu ndio vichwa vinavyoitwa vyenye akili kubwa pale Lumumba. Sasa kama anasema hivyo utakuwa umepata majibu uwezo wake ukoje na wa hao wanaomuona genius