Hongera TARURA Ilala, nimetumia dakika tano kutoka Kitunda mpaka Banana

Hongera TARURA Ilala, nimetumia dakika tano kutoka Kitunda mpaka Banana

mparange

Member
Joined
Nov 15, 2022
Posts
21
Reaction score
28
Leo natoka Kitunda barabara imechongwa na greda. Nimetumia dakika tano kutoka Kitunda mpaka Banana tofauti na awali saa moja. Hongera endelea kuchonga kwenda Kivule, Mwanagati, Magole, Kibeberu.

Thanks and keep it up.
 
Ni wajibu wao, why thanking them. Maybe appreciation but si kuwashukuru.
 
Back
Top Bottom