Hongera TAZARA nimeridhishwa na huduma zenu

Hongera TAZARA nimeridhishwa na huduma zenu

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Ni fire ! ni mwendo wa kujimwagilia tu,k vant,john walker,konyangi kuku choma yaani ushindwe mwenyewe ,mtuwekee na warembo muongeze na spika kubwa ! mambo mengine kama uchakavu wa mabehewa na viti, uchafu hayo sisi hayatuhusu kikubwa tumefika dar tuko full data!
 
Unanilazimisha nitoke Mbeya kwenda Dar kwa Treni ili haya unayo yasema nijionee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tatizo muda wao sasa haueleweki,dar sijui mlifika saa ngapi?Lile la TRC to Arusha muda upo poa sana
 
Acha maneno weka kapicha Mkuu watu tupange safari.
 
Back
Top Bottom