Elections 2010 Hongera TBC 1 - Endeleeni hivyo hivyo

Bila tbc tanzania itasalimika.............uwepo wake ni ushabiki zaidi kwa ccm na vikaragosi vyake............mimi kutazama tbc pana kazi sana......
 
Ngoja tuone maana safari ndo kwanza.. inaanza.
 
Tido, doesn't know what the future hold, his days could be numbered at Tbisii !
 

In a layman explanation!!
Marando anafanya biashara kwa kutumia profession yake, je akatae wateja ambao ndo nyie mafisadi, acha ale fedha yao....lakini ukweli uko pale pale!!
 
Bagamoyo, thank you for this video clip, with it I was able to get to Tangibovu Youtube where I enjoyed every bit of it. I had a good listen to Idd Amin, strange Amin had predicted a Black President in America! I think the video that has this is tilted Idd Amin and Rumblings, he is talking of Zion and a strange book he had, the teaching of the elders of Israel, ...he says the blacks must be secretary of USA, they are more brilliant than Kissinger, Dr Kissinger is not very intelligent, he always goes to the weakest leaders, he does not go to Gadafi, he does not go to General Amin.....ooops, lest am taken a supporter of Amin, am one of the archenemies of Amin
 
TBC wanyongaji wa demokrasia
bora polisi wamekuwa wastaarab siku hizi maana wameridhika na zile rushwa za buku mbilimbili.

ila hawa TBS wanaboa mpaka kunuka

Mkuu polisi wamegunduwa wanatumiwa halafu uchaguzi ukiisha wanakufa njaa. Mwaka huu kuna dalili watakaopiga kura wasimpigie mwajiri wao
 
Kwa kweli pamoja na kuwa katika baadhi ya siku hawa jamaa wanajisahau, lakini napenda kuwapa pongezi TBC kwa coverage ya habari za kampeni jana kwa ni kwa kiasi kikubwa iliweza kuvipa vyama vyote (vikubwa) muda.

Tunawapongeza na tunaamini mnatekeleza majukumu yenu kama chombo cha Watanzania. Mkijisahau tena tutawakumbusha...
 

Mhhhhh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…