Hongera TRA Bukoba kwa kusimamia suala zima la utoaji wa risiti kwa mteja

josam

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2011
Posts
2,252
Reaction score
1,041
Ninapongeza TRA Bukoba kwa kuhakikisha wafanya biashara Mjini humo siyo tu wanamiliki EFD bali wanatoa risiti za EFD kwa kila huduma inayotolewa.
Ukiingia mgahawani unakutana na EFD
Bar, Guest kote huko unapata EFD hadi baadhi unakumbushwa kupokea risiti yako ya EFD.

Hivi utartibu huu ungewekwa kwenye Guest jijini Dsm Serikali ingekusanya fedha kiasi gani kwa siku? Ifike mahali mfanya biashara atoe risiti mwenyewe hata kama mteja kajisahau kuomba au kudai risiti. Natamani kuwashauri TRA kuweka ofisa wao kwa kila gesti Nchini. Vitabu havijazwi, na watu wanapiga hela kama hawana akili nzuri... TRA fanya utaratibu kama mlioweka kwenye mafuta.

Heko TRA BK!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…