Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!

Dah! Ni miaka kadhaa imepita bila kukutana na NONDO za namna hii kutoka kwako mkuu hapa JF!
Huwa sioni aibu kusema kuwa, wewe ni miongoni mwa "VICHWA" (kabla ya kufungwa gavana kule Bungeni) mlionifanya niipende na kujiunga hapa JF. Mwenye Enzi Mungu azidi kukupa uwezo wa kuitambua KWELI, nawe kuisema bila woga, na cha zaidi AKULINDE!
 
Kwani Magufuli ndiye aliyekuwa mnunuzi wa hicho kivuko? Magufuli alikuwa Waziri wa ujenzi Wakati huo, wizara ina Makatibu wawili na maafisa ugavi (Wanunuzi) ambao ni wateule wa Rais, Waziri yuko bale kwa nafasi ya kisiasa kutimiza ilani ya chama, Yeye anaitwa kuzindua kwa niaba ya kumwakilisha Rais, Waziri ana mamlaka ya kumwajibisha katibu mkuu au wakurugenzi wa wizaya.Hivyo kumtwisha mzigo Magufuli wa kivuko ni ujinga mtupu.
 

Fastest trains in the world by record speed 2022​

Published by
Erick Burgueño Salas,
Nov 7, 2022
As of August 2022, the fastest train on Earth, based on its record speed, is the Japanese L0 Series Maglev with a record speed of 603 kilometers per hour. The L0 Series was followed closely by the CRRC Qingdao Sifang 2021 Maglev of China, with a record speed of 600 kilometers per hour, although both trains are not yet in operation. The fastest train in operation is the Japanese MLX01 Maglev, with a record speed of 581 kilometers per hour.
 
kuambiwa ukweli tuu!,
tutaelewa tuu kuliko...
Hivi kweli watanzania hatuwezi kuassembo mabehewa yetu kweli Taasisi zote hizi na watu binafsi wanajishughulisha na masuala ya kihandisi kweli hatuwezi?

Mimi nasema TUJITEGEMEE, kwani tunaweza kufanya kazi hizi wenyewe. Wizara ya viwanda; Wizara ya Elimu ,Sayansi, na Teknolojia, Wizara zinazohusika na miundombinu, mambo ya Nje na uwekezaji zishirikiane kutimiza Jambo hili. Tuache mambo ya kufanyiwa tufanye wenyewe!
 
Kama haikumhusu Kwanini alienda kujificha jeshini?Yeye si alikua mtumbua majipu hodari kwanini hakuwachukulia hatua hao walionunua?
 
Kama haikumhusu Kwanini alienda kujificha jeshini?Yeye si alikua mtumbua majipu hodari kwanini hakuwachukulia hatua hao walionunua?
Magufuli asinge weza kuwatumbua sababu alikuwa ana mamlaka ya kuwawajibisha, yeye anampelekea Rais mwenye kuwateua, Rais akikataa basi,na kumbuka Waziri ukitaka mambo yako yafanikiwe ni lazima ushirikiane na Katibu na wakurugenzi wa wizara yako,ukijifanya kichwa lazima utakwama Maana wao ndio watendaji wakuu.
 
Kiukweli tunaweza kabisa!. Tuna karakana kubwa ya reli pale Mang'ula Morogoro ianweza!. Mabehewa mitumba kama hiyo, tunayo, tulihitaji tuu matairi ya SGR, ukarabati tukafanya wenyewe!.

Tanzania tuna tatizo la upangaji wa vipaumbele vyetu na kutokuwa na strategic planing!.

Wakati tunaanza ujenzi wa SGR, tulipaswa pia kuweka order ya vichwa na mabehewa, SGR ya Dar - Moro inaenda kukamilika ndio serikali inatafuta mzabuni wa kusupply vichwa 2 na mabehewa 50 in 9 months!. Hapo ni lazima utanunua ready made ya wengine yalitotumika ila sikujua kama yatakuwa this old!.

Sasa tunajenga bomba la mafuta ya Uganda, tulipaswa tujenge refinery yetu pale tanga ili Tanzania tusafishe mafuta yetu tuache kuagiza mafuta ya waarabu!. Bomba likiisha kamilika ndio utasikia tenda ya refinery!.

Tunajenga mtambo wa kuchakata gesi ya LNG pale Mandimba, gesi ikiisha chakatwa ndio mtasikia tenda ya kuisambaza domestic ikitangazwa!.

We seriously need visionary leaders wenye uwezo wa kuona mbali, sio baadhi ya hawa waliopo ambao uoni waa ni hadi mwisho wa urefu wa pua zao tuu!. Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa!
P
 
Alivyokua rais aliwachukulia hatua gani hao walionunua meli mbovu?usiseme ooh sijui hawakua madarakani Tena maana ameshafukua makaburi Mara kibao.

Pia nimekuuliza tena kwanini alienda kuificha hio meli Jeshini na akasema kabisa kwa mbwembwe eti 'kwa wale mliokua mnaisema sema hii meli Sasa mjue hii Ni Mali ya Jeshi'.
 
Naunga Mkono hoja.
 
Nyinyi Watu wanafiki sana kwani Magufuli kawakamata wangapi na kuwaweka ndani mkaanza kusema Magufuli anavisasi na watu wa karibu na Kikwete, wengi sana wamekatwa, Sasahivi ndio wanatolewa na Samia, Wengine walilipa ela wakatoka.nasema tena Magufuli hausiki na kununua kivuko yeye alikuwa Waziri tu hiyo mgemuliza Kikwete ndiye aliyeteua matibu na wakurugenzi.Mbona Sasahivi mnamlaumu Kadogosa na sio Waziri wa miondombinu?
 
Mimi nitakuunga mkono kwa asilimia Mia moja kwani sio wao tu wenye mafuno ya kutisha watu Na kwa pamoja safari hii wakikwita tena Dodoma tutakuwa wote na nitawaomba wanajamii forum kwa Mara hii twende wote Dodoma wakatujuze Na utakuwa mwishobwa Wa kuwa nyuma ya keyboard. Hatuwaogopi tunawaheshimu tu kwani bia tunakunywa wote pale Dodoma Na kwingineko.
 
Mnafiki Ni wewe na huyo jamaa yenu aliyekua jizi huku akijificha nyuma ya Uzalendo uchwara.
 

Mkuu Viongozi hatuna wao wanachowaza ni uchaguzi 2025.
 
Mkuu, huo muonekano mzuri wa sgr unaochafuliwa na muonekano wa behewa hizi ni upi? Unafahamu kwamba behewa na vichwa vinavyofanya kazi kwenye reli yetu tuliyoachiwa na mkoloni hii Mgr huko zilikotoka zilikuwa zinafanya kazi kwenye sgr?
Fahamu kwamba Vichwa vya treni vilivyonunuliwa na trc toka Marekani mwaka 2014-2016 aina ya GT38 LC-3s vinavyo tengenezwa na kampuni ya EMD huko Marekani na sehemu nyingine duniani vinatembea kwenye reli ya sgr.
Sgr yetu ina u special gani kiasi cha kuona vichwa na mabehewa yanayotumika kwenye sgr nyingine duniani tukitumia huku tunachafua?
 
Malizia kwa kusema "CCM OYEE". Kwa kweli watanzania ni zaidi ya hayawani. Yaani yote haya anayoeleza mayala anajua yanafanyika ktk utawala gn na serikali inayoundwa na kuongozwa na kirusi ganu na bado anajidi kukipenda hicho kirusi kinachowatafuna watanzania, pamoja na yeye mwenyewe. Cjui tumuiteje mtu km huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…