Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!

CCM hawashindwi kufanya huo mchezo. Wao wanawaza kula mpaka kivimbiwa.
 
V8 zao mpya Zero Km na wakistaafu zawadi V8 mpya 0 Km

Tunaletewa Refubrished used kubana matumizi wakijua fika wataipanda hiyo ngarangara siku ya uzinduzi tu baada ya hapo ni mavi8 yao na pipa za ATCL 😂
 
Mkuu Mr. Mpevu , pevuka basi!, umeishawahi kutembelea kwenye mapango ukakutana na li zimwi, hilo zimwi likikujua, halikuli likakwisha!. Ni bora ukaishi na zimwi likujualo!.
P
 
mabehewa haya ni box body na sio mchongoko, hali iliyopelekea ujio wa mabehewa haya mapya, kupokelewa kwa mixed feelings
Nadhani tuendelee kusubir hadi yaje mabehewa yote pamoja na vichwa viwasili,maana ninavyojua behewa haliwezi kuwa mchongongoko Bali kichwa cha train ndo kinakuwa mchongoko,na yaliyokuja ni mabehewa tu,nadhan kabla ya kuendelea kuuliza uliza basi tusubiri vichwa vya SGR siku vikifika na vikawa sio mchongoko ndo tuulize,maana hivyo vitakuwa havina utofauti na MGR kwa muonekano,hizo ni hisia zangu tu wakuu maana Yale yalokuja kusema ukweli hata Mimi hayajanikosha,yapo kama mabasi ya Leyland ya miaka ya 90 kimuonekano wa nje
 
We are in a right truck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…