Hongera Uhuru Kenyatta

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Rais uhuru Kenyatta amekutana na Malkia Elizabeth wa Uingereza mjini London na kufanya naye mazungumzo ikiwepo juu ya maendeleo ya watu wa Kenya na uchumi kwa ujumla,hongera sana kiongozi bora wa Afrika
 
Rais uhuru Kenyatta amekutana na Malkia Elizabeth wa Uingereza mjini London na kufanya naye mazungumzo ikiwepo juu ya maendeleo ya watu wa Kenya na uchumi kwa ujumla,hongera sana kiongozi bora wa AfrikaView attachment 751257View attachment 751258

Kwa hiyo unamtaka raisi wetu aone wivu? Acha tabia kulinganisha na kuchonganisha Wanaume!
 
Rais uhuru Kenyatta amekutana na Malkia Elizabeth wa Uingereza mjini London na kufanya naye mazungumzo ikiwepo juu ya maendeleo ya watu wa Kenya na uchumi kwa ujumla,hongera sana kiongozi bora wa AfrikaView attachment 751257View attachment 751258

Mawazo ya kikoloni kabisa. Magufuli angefanya lazima ungekuja hapa na kosoasoa! Mwanadamu hana jema.
 
hao wanajuana, walimsaidia hadi mawakili ICC akachomoka.
mbona kuna mengi ya kumpongeza wetu huku mkuu, mara mojamoja unatupia pongezi za kizalendo
 
Pambafuuu wewe ubora wake ni kukutana n.a. malikia au?

Hapana, lengo lake ni kumlingishia Raisi Magufuli, kwamba ona Mwanaume mwenzako anakutana na Malkia siyo kama wewe mwanaume gani, ona mwenzako mambo kama hayo yaani ni kama vile Mwanamke anavyomsifiia Mwanaume mwingine mbele yako ili kukufanya usikie wivu!

Ndiyo maudhui ya mada yoote hii hakuna kingine, huo ndo ujumbe wake!
 
hao wanajuana, walimsaidia hadi mawakili ICC akachomoka.
mbona kuna mengi ya kumpongeza wetu huku mkuu, mara mojamoja unatupia pongezi za kizalendo
Mkuu kwa ushauri wako unaonekana una uwezo wa kumpongeza yeyote
 
Mkuu kwa ushauri wako unaonekana una uwezo wa kumpongeza yeyote
kupongeza na kukubali mema mazuri hata kama ni moja kati ya mia ni sehemu iliyosahaulika na watu wengi.
hakuna mtu ambayw ni mbaya 100% au mzuri 100%. kupongeza ni kuchagua kusifia hicho kizuri unachokiona.
kila mtu anakitu cha kupongezwa, somo ambalo najua kwa siasa zilipokifikisha huwezi kulielewa ila utaona wenyewe wanapongezana.
 
Kama lengo ni hilo basi amefanikiwa, Uhuru amemuacha Magu by million miles!! U can't compare the two
 
Misukule ya Lumumba imecharuka hawataki malkia adhalilishwe.

Hongera Uhuru hii week umefanya mambo makubwa kwa inchi yako.
 
Nashukuru kwa ushauri wako na mawazo yako mazuri sana kwa jamii ya wanachama wa jukwaa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…